TANZIA Mtangazaji wa Radio One na ITV, Agnes Almasi afariki dunia

TANZIA Mtangazaji wa Radio One na ITV, Agnes Almasi afariki dunia

mkuu,punguza jazba boss,msamehe kama amezingua
Acha tabia ya kutukuza watu. Mtu anapenda kutukana wewe kazi kusahihisha kila muda. Unachangia kukuza ujinga na upuuzi.
IMG_20200903_181548.jpg
 
Inasikitisha sana!
Huyu dada juzi tu alikuwa anasoma taarifa ya habari leo hatunaye?
Hapa duniani kweli tunapita tu, hakuna haja ya kuwekeana visasi...
Mungu alitoa na Mungu ametwaa jina lake lihimidiwe!!!
 
Mimi wa kwanza kusema hivyo. Juzi na mpaka sasa namuuguza mzee wangu ambaye alirudishwa kutoka Muhimbili baada ya kugundulika kuwa ana Covid 19. Aisee huu ugonjwa inasumbua. Kitu kibaya zaidi kwa huu ugonjwa ni kuwa ukimpata mtu basi yale magonjwa ya sijui kupigwa stroke, Sukari, pumu yanakuja kama mshale! Dah nisiseme sana!
Ni mpumbavu kiwango cha lami anayeweza kusema Tanzania hakuna Corona.
 
Mtangazaji wa Radio One naITV Agnes Almas afariki dunia. Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya marehemu Mahali Pema Peponi [emoji1431]

#TANZIA:Tunasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzetu Agnes Almas
@ITVTANZANIA
. R.I.P AGNES ALMASY.

View attachment 1557557

UPDATE:
Mtangazaji wa ITV, Agnes Almas amefariki dunia ghafla mchana wa leo akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam baada ya kujisikia vibaya alipokuwa nyumbani kwake akijiandaa kwenda kazini.
View attachment 1557675View attachment 1557676View attachment 1557677
dah poleni sana wanafamilia na ITV.kwahiyo kipindi cha dakika45 na Lisu leo haitaonyeshwa watakuwa na maombolezo au
 
Back
Top Bottom