Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Ah bas nilijua kitu cha bar kimeandaliwa kbs. Kama mzima nisawa kbs wako wengihuyo buku ten ni mzima kabisa anakua hajapikwa,wanatembeza mitaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah bas nilijua kitu cha bar kimeandaliwa kbs. Kama mzima nisawa kbs wako wengihuyo buku ten ni mzima kabisa anakua hajapikwa,wanatembeza mitaani
Ah bas nilijua kitu cha bar kimeandaliwa kbs. Kama mzima nisawa kbs wako wengi
Basi nilijua kaenda bar kaagiza kuku mzima..kumbe hivyo ah hata wa 6000/- unapata...hahaha[emoji23] Bar hawawezi kuuza bei ndogo hivo
Basi nilijua kaenda bar kaagiza kuku mzima..kumbe hivyo ah hata wa 6000/- unapata...
Kuku ni Bei rahis akiwa mzima ten vijijib akishafika bar atapanda. Huku wali wa buku mwingi balaa ...[emoji16]au labda maeneo ya kwako wanauza hivo,kwa mfano kuna sehemu Kigoma walikua wanauza wali maharage mia tano sahani ikiwa full,Namtumbo songea wanauza chips mayai buku
Shingo yake vipi yaani!Kaondoka na shingo yake haki ya mungu.
Tangulia Agnes mungu akulazwe pahali pema
Ni nzuri sana huwa napenda shingo zenye zimekatika wimbi katikati kama ile ya waziri wa afya au ya fesiti ledi[emoji85]
Alisumbuliwa na nini Vicky?R.I.P Agnes
Na wakisema ni changamoto za upuaji utaridhika.iwe iwavyo,sema usemavyo keshafariki na wewe na mm hatujui sababu za kifo chake.usiumize sana kichwa kutukana kwa niaba ,wala marehemu hajakutuma. mungu amlaze anapostahili.Manyumbu yatakuja kusema ni corona
Hao matapeli tangu lini wanafufua watuGwajina na Mwamposa wamfufue
Upumbavu ni mzigo mkuu.miongoni mwao akina nani.ubongo wako hauzidi kb 1.Nioneshe tusi kwenye hiyo kauli hapo juu
Au na wewe ni miongoni mwao?
Fungua mabano mkuuWakubwa tunaelewa
Unaweza kukuta hapo ni baba na mtoto mnabishana.Upumbavu ni mzigo mkuu.miongoni mwao akina nani.ubongo wako hauzidi kb 1.
Teh teh teh[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]!Ni nzuri sana huwa napenda shingo zenye zimekatika wimbi katikati kama ile ya waziri wa afya au ya fesiti ledi[emoji85]
Hata sijui. Mimi ndo kwanza habari nimezipata hapa.Alisumbuliwa na nini Vicky?
Bado wananywea pale Maryland?Wanawaza Kwanza 'Mishahara' yao 'wanayoisotea' huu sijui Mwezi wa Pili sasa. Nakuomba Siku kutana na Mmoja wao akupe ya hiyo Kampuni ulie!
Ulitaka atoe taharifa kuwa anakaribia kufa?Jamani........[emoji15]......
Kulikoni tena ghafla hivi.......?......
RIP Agnes....