TANZIA Mtangazaji wa Radio One na ITV, Agnes Almasi afariki dunia

TANZIA Mtangazaji wa Radio One na ITV, Agnes Almasi afariki dunia

Khee!! Kwani huyo mdudu bado yupo?
Mkuu, nahisi ipo sana. Majuzi kuna Mwl mmoja wa sekondari moja Ngara kaangukuka ghafla ofisini alikimbizwa hosp na hakufika!!! Ni kwa mtindo huo wa kifo cha ghafla!! Agewise ni kama huyu Agness. Tuchukue tahadhari za kutosha.
 
Nimeachana na local chanels cjui tena watangazaji!?? Yani nakumbuka itv kulikuana Jamaa anaitwa ..........chuwa,Ranfed masako, cjui tena watangazaji hata mmoja
 
Siku zingine usipende 'Kubishana' na Mimi GENTAMYCINE tafadhali kwani ukiona 'nalishikilia' tu Jambo jua nina uhakika nalo 100% Kiuhalisia sawa?
Wewe mpuuzi tu.

Ujanja wote unaojitia unao lakini hukujua kwamba kwenye nafasi ya ugombea urais wa JMT mgombea Urais na makamu wake wanatakiwa wawe wanatoka pande mbili tofauti za muungano.
 
Back
Top Bottom