Mtangazaji wa redio kutoka Tanzania amekamatwa na dawa za kulevya Kenya!

Siku zote Ulikuwa wapi kusema? Hizo laptop zenyewe tukifuatilia nawewe Utakuwa Umeiba tuu huko.
 
Eti nilikutananae JAMBO CHAT kumbe nyinyi ndo mnakurupukiaga watu tuu?
 
Jibu swali "Za mwizi 40" Huyo dada Kaiba nini?
 
Eti nilikutananae JAMBO CHAT kumbe nyinyi ndo mnakurupukiaga watu tuu?

"Nikikurupukiaga" mtu ndiyo iwe justified ya kutapeli?Putin na ww kama alivyo mwenzako hoja yako ni ya hovyo hovyo iliyoandikwa kihovyo hovyo!

Haijalishi mmekutana vipi kwa mtu fulani kuwa mwaminfu kwako!Uaminifu ni malezi unayopewa na wazazi wako na huyu dada alikosa hayo malezi!Hili dada ni jizi tu na linastahili hapo lilipo sasa!
 
Kwenda weweee tapeli mkubwa.
 
Jibu swali "Za mwizi 40" Huyo dada Kaiba nini?

Huyu ni zaidi ya MWIZI;

Afadhali MWIZI athari zake ni za mtu mmoja yule aliyeibiwa na familia yake inayomzunguka!Muuza madawa ya kulevya kwa kiasi kikubwa kama hiki ndiyo yamesababisha TZ na dunia kwa ujumla IKOSE NGUVU KAZI kwa sababu vijana wengi wameathirika na madawa waliyokula toka kwa dada huyu!

Huyu anastahili adhabu kali mno!Ingekuwa kamatiwa Iran angenyongwa!
 
Wewe Ulivyokurupua Laptop huko Ulaya Hukuwa Unataka Kipato cha haraka?
 
Acha porojo Jibu swali Kaiba nini?
 
Kweli wajinga hawaishi wataendelea kuja...... We mtu humjui Ukaenda kumkabidhi mzigo then Ukaenda Kyela kusosomola ndizi Ukirudi Ukute hela?.... Yani iyo ni sawa na Kuweka hela brbrn Ukakandamiza na jiwe zisipeperuke na Upepo alafu Kesho yake urudi unaanza kuuliza wapita njia.
 
Reactions: Edo

Maelezo yako MAREFUUU lkn bado HAYAJAELEZA wala HAYAJAFAFANUA kuwa:Kwa vile mtu umekutana nae kwenye social networks NDIYO AKUIBIE?Una-justify uwizi kwa sababu tu watu hao walikutana kwenye chat?
 
Maelezo yako MAREFUUU lkn bado HAYAJAELEZA wala HAYAJAFAFANUA kuwa:Kwa vile mtu umekutana nae kwenye social networks NDIYO AKUIBIE?Una-justify uwizi kwa sababu tu watu hao walikutana kwenye chat?

Wewe Laptop na cm ulitoa wapi km hukuiba? Onyesha risiti ya huo mzigo na Ushuru uliolipia pamoja na Kibali cha kufanyia biashara iyo.....
 
Maelezo yako MAREFUUU lkn bado HAYAJAELEZA wala HAYAJAFAFANUA kuwa:Kwa vile mtu umekutana nae kwenye social networks NDIYO AKUIBIE?Una-justify uwizi kwa sababu tu watu hao walikutana kwenye chat?

Kama alikuibia ulichukua hatua gani?
Au unakuja kulalama tu hapa JF?
 
Wewe Laptop na cm ulitoa wapi km hukuiba? Onyesha risiti ya huo mzigo na Ushuru uliolipia pamoja na Kibali cha kufanyia biashara iyo.....

Hana hivo vitu na ndo maana hajathubutu kwenda kushtaki.
Mkurupukaji mkubwa huyo anakuja hapa gagulo linampwaya utasema ana cha maana kumbe uharo mtupu.
 
Hah hah hah hah hah haaaah mkulima huyo hana jipya wacha wamtengeneze
 
Hana hivo vitu na ndo maana hajathubutu kwenda kushtaki.
Mkurupukaji mkubwa huyo anakuja hapa gagulo linampwaya utasema ana cha maana kumbe uharo mtupu.

Gang Chomba:The Great thinker!

Malezi ya mtu yanajionyesha wazi jinsi anavyoandika na kujenga hoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…