Mtangazaji wa redio kutoka Tanzania amekamatwa na dawa za kulevya Kenya!

Wewe uliefanya nae biashara ndio shost wako...
Sasa turudi kwenye swali, je ukiambiwa uje na risiti ya hizo Laptop na hiyo simu je utaweza kutuletea?
hahahahahaha dah mwizi wako malafyale keshakamatwa heheh
 

Nalikumbuka hili soo enzi za Jambo chat.. ni kweli ilitokea,demu alikuliza laptops na cells zako.Wasiokuamini hawajui yaliyokutokea mwaka ule. Kumbe kaka ulishaondoka Marekani, ulirudi home nini? Mambo vipi?
 
Nalikumbuka hili soo enzi za Jambo chat.. ni kweli ilitokea,demu alikuliza laptops na cells zako.Wasiokuamini hawajui yaliyokutokea mwaka ule. Kumbe kaka ulishaondoka Marekani, ulirudi home nini? Mambo vipi?

Rubaman!Kipindi kile hawa akina Gang Chomba na Putin wala hawajui kama kuna chat kwenye mitandao;Tuna-ifungua jambo chat baadae hii Jamii forum chini ya Mkuu Melo hawa jamaa hawapo hewani!

Mzee alipofariki ikabidi kimila niwe na makazi 2 sasa;Kyela na USA!Mkuu Rubaman za siku nyingi?
 

......
Pole sana kwa msiba kaka.. anyway ubaya kweli unalipwa hapa hapa duniani, ahera ni mahesabu...
 
Nalikumbuka hili soo enzi za Jambo chat.. ni kweli ilitokea,demu alikuliza laptops na cells zako.Wasiokuamini hawajui yaliyokutokea mwaka ule. Kumbe kaka ulishaondoka Marekani, ulirudi home nini? Mambo vipi?


binafsi sihitaji kujuwa yalomtokea.
Nachotaka aje nacho hapa ni risiti ya hivyo vitu ambavyo analazimisha kutuaminisha kuwa kaibiwa.
Kama hana risiti navyo basi na wewe ni panja.
 
Ahahahaha shemzigwa:Mungu analipa ubaya hapa hapa duniani!Demu tapeli la kutupwa hili!


Siku utakayokutana nae kitaa ndio utagundua Gang Chomba alisema kitu ambacho ana uhakika nacho.
Nimekwambia nipe muendelezo wa kesi huko Kenya ukoje?
Huna jibu.

Nilikuomba risiti za vitu vyako ulivyoibiwa navyo pia umeshindwa kuniletea, ila unabaki kulalama tu kama binti aliekosa sare ya ngoma...
 

Hili jimama zuzu kweli kweli!Nikuletee risiti ww ni nani?Wewe ndiyo jizi mwenyewe au?
 
Pole yake,,,,ila naskia watu wa powder wana mtandao mpana sana watamtoa nyavuni,,,,,,kenya ni afrika tu rushwa iko palepale

Huo ndio ukweli maana hata mwimbaji moja aliwahi kuimba kwamba"Kenya ni nchi ya kitu kidogo"
 
binafsi sihitaji kujuwa yalomtokea.
Nachotaka aje nacho hapa ni risiti ya hivyo vitu ambavyo analazimisha kutuaminisha kuwa kaibiwa.
Kama hana risiti navyo basi na wewe ni panja.

Wewe vipi lakini mbona umeng'ang'ania kuletewa risiti kwani wewe ni kituo gani cha polisi au wewe ni mahakama gani inayotaka ushahidi wa risiti. Acha tabia ya tomaso wa kwenye biblia. Jamma kakwambia aliibiwa vitu vyake na bi Shirima na swala hili lilikwisha jitokeza kwenye jambo chat na walioona wamedhibitisha ,hili
 
Hili jimama zuzu kweli kweli!Nikuletee risiti ww ni nani?Wewe ndiyo jizi mwenyewe au?


hasira ni matumizi ya mwisho ya akili.
nimekuomba risiti unashindwa kuja nazo so na wewe ni mwizi.
haya pandisha gagulo hilo.
 
nimekuomba risiti unashindwa kuja nazo so na wewe ni mwizi.

Umeulizwa hapo juu na watu wanaofikiri vyema;ww ni nani hadi nikuletee risiti?Nikileta risiti ndiyo vitu vyangu utanirudishia?Wewe ni "shoga" yako jizi Sarafina Shirima?

Waliothibitisha (Rejea kwenye andiko la Rubaman)kama kweli hili dada ni jizi wananipendelea mm?Wewe ni polisi,DPP au Mahakama?

Jizi Sarafina utamkamata nikileta urisiti?Kama hauna majibu ya maswali haya nenda mahabusu Kenya kumtembelea "shoga" yako akiwa rumande!
 
Subiri niwaambie wazeee na masisteri.
Kenya wana chuki sana tena kubwa na watanzania, wao wanachokifanya hasa kwenye kuunganisha safari, primary target yao ni watanzania. achilia mbali ukaguzi wa kawaida wa scanner wao wakikuona na kukuhisi kuwa ni mtanzania watakutoa kwenye folen watakukagua na wanaokuja wanakua wamevaa kiraia hasa wanawake. sometime mnaweza kupiga story kwa muda baadaye anakwambia samahani nifuate au mtu mwingine anakuja kukuchukua. Mimi nilishakamatwa mara tatu siku moja maeneno tofauti tofauti hapo Jomo Kenyata just because kila section ninayoeenda nilikua noted easily kuwa na mtanzania. istoshe haiwaingii akilini kwa wao kujua kwamba watanzania wanaweza kusafiri kwa business issues tofauti na wao kama watu wa nchi zingine na wana assumption za kijinga sana- kwamba watanzania woote hawajasoma.

halafu kwa hao wanaojaribu kupitisha madawa jamani mimi binafsi nime- obsevrve security standard za viwanja vingi hasa hapa Africa. Jamani kama una zigo achana kabisa na jomo kenyata kwa sababu wakisha ku-suspect we ni mtanzania lazima wakudabe kwenye kuunganisha flight.

pili jamaa wakikukamata achana na kuongea kitanzania (Kiswahili) sometime utapunguza harrassment zinanzoweza kukukabili. wanajua kukera na kudhalilisha. tena sana. ushauri wa bure na msistizo, kama unazigo ni rahisi kupita London kuliko Jomo Kenyata. halafu jamaa wanaongea kwa kutisha na ugomvi lazima utaanza kunyeshewa mvua na kuishiwa nguvu. we tua zako somalia halafu pita pori kwa pori. hata Johannesburg ni adhali mara mia. kuna siku wale askari waliniambia kwamba siku moja walikamata watanzania watano ndo maana kila mtanzania wanajua dili zake ndo hizo. ukipita viwanja kama Kotoka International Airport na vingine vya huko magharibi mwa Africa utashangaa ulinzi uko loose sana. yaani ujiingize mwenyewe lakini wao wana focus document zako na kimsingi ni kama wanasema acha vijana watoke
 

I applaud your honest, It seems you're experienced......
 



Well u sayd...
Walimhisi, wakamkagua, wakamkata, lakini mwisho wa siku aliwatoka na sasa yuko zake Dar anakula bata...
 
Ahahahaha shemzigwa:Mungu analipa ubaya hapa hapa duniani!Demu tapeli la kutupwa hili!


Narudi tena hapa jamvini kuomba muendelezo wa kesi kwa nyie mliokurupuka kanga begani na kuja kusema hapa Jamvini kuwa Sarafia Peter Shirika binti Manshaalah toka Sinza kwa wajanja eti amekamatwa na vipolisi uchwara vya Kenya...
Hiyo kesi vp?
je Kamanda Sarah ashapandishwa Kizimbani?
Au je ameshapelekwa shimo la tewa kwa ajili ya kutumikia kifungo?
Au kesi yake inasikilizwa Mahakama ya Mbinguni?

Wapuuzi wakubwa nyie.
Na siku nyingine msikurupuke kuwazushia watu vitu vya uongo.
Hizo habari zenu za kishambenga pelekeni Facebook.
 


ushuzi kweli wewe...
Tazama joining date yako hapa JF kisha tazama ya kwangu halafu pandisha mgagulo wako huo kisha ukome kuandika mitapishi hapa...

Watu kama wewe na washakunaku wenzako huwa nategemea kuwakuta jukwaa la mapishi, na si katika jukwaa hili.

Kitumbua we...
Huivi mpaka ugeuzwe kisha utobolewe
 

Wewe jamaa bado kweli kweli,kuna wangapi watu hapa wana ID zaidi ya moja?Wewe mgeni na mitandao maana wazo la kuanzisha Jamii forum alipokuja nalo Mwenyekiti Max Melo wala hujui tulikutana wapi!

Shoga yako ni lijizi na najua umechukia sana kwa yy kuwa mahabusu maana umekosa sehemu ya kwenda kuazimana pedo ukiwa kwenye siku zako za maumbile ya kike!

Mwizi huwezi msaficha hapa na kama una uchungu nae sana mfuate mahabusu ukawe gogo la watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…