proton pump JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 6,814 Reaction score 10,104 Dec 30, 2022 #41 GENTAMYCINE said: Jina lake ni nani ili nimtanie pia kana Mtani wangu? Click to expand... Wahaya sehemu yenye A huongezea H mfano asubuhi anasema hasubuhi.
GENTAMYCINE said: Jina lake ni nani ili nimtanie pia kana Mtani wangu? Click to expand... Wahaya sehemu yenye A huongezea H mfano asubuhi anasema hasubuhi.
proton pump JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 6,814 Reaction score 10,104 Dec 30, 2022 #42 GENTAMYCINE said: Simiyu ila kwa hapa Dar es Salaam wapo Mwenge Bamaga nyuma ya Hotel Maarufu ya aliyekuwa Hawara Mwandamizi ( Mpango wa Kando ) wa Aliyelala mazima Ziwa Victoria Mkoani Geita. Click to expand... Waache kuwapa Wahaya hawajui kusoma
GENTAMYCINE said: Simiyu ila kwa hapa Dar es Salaam wapo Mwenge Bamaga nyuma ya Hotel Maarufu ya aliyekuwa Hawara Mwandamizi ( Mpango wa Kando ) wa Aliyelala mazima Ziwa Victoria Mkoani Geita. Click to expand... Waache kuwapa Wahaya hawajui kusoma
Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,266 Reaction score 8,085 Dec 30, 2022 #43 Bob sambeke said: Tumerikamata ri tuhumiwa Ajari mbaya imetokea wiraya ya tarime Sisi ndo jeshi la porisi utake usitake razima tukufunze adabu Click to expand... ii ni atari sahana.
Bob sambeke said: Tumerikamata ri tuhumiwa Ajari mbaya imetokea wiraya ya tarime Sisi ndo jeshi la porisi utake usitake razima tukufunze adabu Click to expand... ii ni atari sahana.