Mtangazaji wa TBC 1 anasema meli ya MV Mwanza itapiga route ikiwa ziwa Victoria kwenda Sudani Kusini, Burundi, Zambia Congo na Malawi

Status
Not open for further replies.

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Your browser is not able to display this video.


Sitaki niongee mengi nishasema watanzania wengi hasa kwenye kada ya uandishi wa habari miaka ya 2000+ ni hopeless na vilaza wa kutupwa sijui journalism gani hawajui hata Geography ya Primary na O level.

Kama mnauzinduzi wa MV Mwanza basi vilaza wenu washaropokwa huko.

Endeleeni na vilaza kwenye vyombo vya umma.

Ni hayo tu.

Wadiz.

======
UPDATE:

TBC watoa tamko > TBC: Mfanyakazi aliyesoma habari kuhusu Meli ya MV Mwanza amechukuliwa hatua
 
Sudani Kusin > Burundi > Zambia > Congo na Malawi, πŸ€’πŸ€’πŸ€’.

Huwezi jua labda Ramani imebadilika 😁😁.
Nimewaza jiografia yangu niliyosoma miaka ya sitini imepitwa na wakati, sasa mambo ya IT na smartphone ziwa Victoria limefika mpaka Congo na Zambia na kutawanyika mpaka Sudan.
 
Kama tunadanganywa kwenye mamboo ya wazi namna hii vipi huko kwenye mafail maofisini
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…