Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
Ni changamoto kubwa sana,Nimewaza jiografia yangu niliyosoma miaka ya sitini imepitwa na wakati, sasa mambo ya IT na smartphone ziwa Victoria limefika mpaka Congo na Zambia na kutawanyika mpaka Sudan.