Ni changamoto kubwa sana,Nimewaza jiografia yangu niliyosoma miaka ya sitini imepitwa na wakati, sasa mambo ya IT na smartphone ziwa Victoria limefika mpaka Congo na Zambia na kutawanyika mpaka Sudan.
Uchawa unazidi hadi ameboronga🤣View attachment 2948865
Sitaki niongee mengi nishasema watanzania wengi hasa kwenye kada ya uandishi wa habari miaka ya 2000+ ni hopeless na vilaza wa kutupwa sijui journalism gani hawajui hata Geography ya Primary na O level.
Kama mnauzinduzi wa MV Mwanza basi vilaza wenu washaropokwa huko.
Endeleeni na vilaza kwenye vyombo vya umma.
Ni hayo tu.
Wadiz.
Kwanza nianze kumshukuru Mama Samia kwa kuwezesha Mv victoria kufika sudani kusiniView attachment 2948865
Sitaki niongee mengi nishasema watanzania wengi hasa kwenye kada ya uandishi wa habari miaka ya 2000+ ni hopeless na vilaza wa kutupwa sijui journalism gani hawajui hata Geography ya Primary na O level.
Kama mnauzinduzi wa MV Mwanza basi vilaza wenu washaropokwa huko.
Endeleeni na vilaza kwenye vyombo vya umma.
Ni hayo tu.
Wadiz.
😀Kwanza nianze kumshukuru Mama Samia kwa kuwezesha Mv victoria kufika sudani kusini
Pili hii habari ipo humu
Mimi sioni tatizo, Jenerari Ulimwengu aliposema kuhusu sekondari ya chuo kikuu cha Dar es Salaam alibezwa lakini watu walisahau kuwa yule waziri Mulugu akiwa kwenye mkutano Afrika Kusini alisema "Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe", kabla ya huo mkutano akiwa Bungeni Sugu aliwahi kusema waziri huyo hana elimu anayodai anayo.View attachment 2948865
Sitaki niongee mengi nishasema watanzania wengi hasa kwenye kada ya uandishi wa habari miaka ya 2000+ ni hopeless na vilaza wa kutupwa sijui journalism gani hawajui hata Geography ya Primary na O level.
Kama mnauzinduzi wa MV Mwanza basi vilaza wenu washaropokwa huko.
Endeleeni na vilaza kwenye vyombo vya umma.
Ni hayo tu.
Wadiz.
Kwanza nimshukuru rais daktar samia suluhu kwa kunipa nafasi .....pia awamu ya sita imefanya maendeleo hadi kwa meli za mchangani zina enda zambia hadi south sudan..... pia wanampango ifike botswana kabla ya uchaguzi 2025.... hayo yote ni maendeleoView attachment 2948865