SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,265
Kwenye kipindi cha michezo startv usiku wa 22/11/2014, mtangazaji wa kike mwenye mvuto na swaga za kuvutia alishindwa kutamka ipasavyo jina la timu ya ligi ya uingereza iitwayo 'swansea.'Alitumia matamshi ya kiswhili yaliyonifanya nimkumbuke Babu Seya.