Mtangazaji wa TV Kaniacha Hoi !

Mtangazaji wa TV Kaniacha Hoi !

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,265
Kwenye kipindi cha michezo startv usiku wa 22/11/2014, mtangazaji wa kike mwenye mvuto na swaga za kuvutia alishindwa kutamka ipasavyo jina la timu ya ligi ya uingereza iitwayo 'swansea.'Alitumia matamshi ya kiswhili yaliyonifanya nimkumbuke Babu Seya.
 
Alitamkaje? Hata mi ukiniambia nitamke nadhani nitatamka kiswahiliswahili hivi. Linatamkwaje kwani?
 
Kwani kukosea matamshi ni ajabu mfn.neno Swansea inatakiwa lisomwe kama lilivyo kwani huo no mji sasa kuna utofauti gani na wanaosema Swansii(kiingereza swansea)
 
Kwani kukosea matamshi ni ajabu mfn.neno Swansea inatakiwa lisomwe kama lilivyo kwani huo no mji sasa kuna utofauti gani na wanaosema Swansii(kiingereza swansea)
Kuna watu wakikosea kutamka unampima na kumsamehe, lakini sikumsamehe huyu mtangazaji aliyetamka swansea nikasikia swanseya. Ndo maana nikasema matamshi yake yalinikumbushia jina la Babu Seya.
 
Alitamkaje? Hata mi ukiniambia nitamke nadhani nitatamka kiswahiliswahili hivi. Linatamkwaje kwani?
Huyo dada swansea aliitamka swanseya badala ya swansii. Ndo maana nikasema matamshi yake yalinikumbushia jina la Babu Seya.
 
Unamkumbuka Babu Seya kwa mvuto wa mtangazaji wa kike? Hongera.
Omba siku ya kutembelea wafungwa umtembelee na ukaburudike naye
, sio kuweka posts kama hii
Hapana mchukiaufisadi.Sio kwamba mvuto wa mtangazaji ulinikumbushia Babu Seya, ila ni matamshi yake ya neno swansea. Alitamka swanseya badala ya swansii
 
Last edited by a moderator:
Aiseeee!!
Hakuna kubwa sana la kushangaza Daata kama unavyoshangaa. Ni kwamba huyo mtangazaji alitamka swansea nikasikia swanseya badala ya swansii. Matamshi yake yakanikumbusha jina la Babu Seya.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom