instagramboy
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 1,521
- 345
Kama ulimsikiliza vizuri siku hiyo akitangaza alitamka swansea nikasikia swanseya badala ya swansii.
Sikutarajia mtangazaji atamke swansea halafu isikike swanseya
Hapana mchukiaufisadi.Sio kwamba mvuto wa mtangazaji ulinikumbushia Babu Seya, ila ni matamshi yake ya neno swansea. Alitamka swanseya badala ya swansii
linavyotamkwa hilo kwa sisi tunaofuatilia mpira wa miguu yaani kandanda ni SWAN-ZII umeelewa wewe SHIEKA WA MZUMBE
Kwa matamshi ya swansea uko sawa kabisa donniebrasco. Ila umekosea sana kusema kwamba mimi SHIEKA ni wa Mzumbe.Una maana gani kunihusisha na Mzumbe? Mimi ni wa Naibili wilayani Siha mkoa wa Kilimanjaro.linavyotamkwa hilo kwa sisi tunaofuatilia mpira wa miguu yaani kandanda ni SWAN-ZII umeelewa wewe SHIEKA WA MZUMBE