instagramboy
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 1,521
- 345
Kama ulimsikiliza vizuri siku hiyo akitangaza alitamka swansea nikasikia swanseya badala ya swansii.
nadhani yalikuwa masikio yako tu yaliyosikia YA.
hata hvyo ni jambo la kawaida coz lugha yetu inaingilia na lugha ya asili.. Na ndyo maana ukienda kwa wamakonde wanaweka N badala ya M
nadhan si kitu cha ajabu