Mogan Mogan
JF-Expert Member
- Jul 6, 2015
- 203
- 144
Inna Lilah waina illah rajiun
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu binti nini kilimsibu? Kiswahili swahili tunaweza kuhusisha na vitu vya ajabu
Unaweza kusoma tena comment yangu na hakika utanielewa!Mleta mada anasema marehemu aliugua kwa wiki mbili
Usihusishe uswahili....husisha imani ya kwamba marehemu alikuwa binadamu,akaugua,akafariki
Ipi iliyoko katika ubongo unaoumiliki...?[emoji15] Kuna namna hapa
Nani mwingine kafa?Hapo wasafi mbona watu wanakufa sana?
Mke wa babtaleNani mwingine kafa?
Noted.Hivi hawa pamoja na kufiwa bado wakaendelea na ile party ya jana kama hajadondoka mtangazaji wao? Utafikiri ni msiba wa media nyingine? Angeondoka wale watangazaji wao pendwa wangefanya hivi? Kwahili wamesikitisha sana, wangemsindikiza mwenzao then hata wiki inayofata waendelee!
Hii media inazidi kuingia vibaya kwenye hii industry, imagine huu msiba ungekuwa clouds! Huwezi kufanya wafanyakazi wajione familia namna hii hata kama unalipa vizuri.
Clouds imedumu sababu ya undugu uliojengwa muda mrefu ambao itachukua miaka mingi kubomoka lakini hawa hawana hiyo spirit toka hatua hizi za awali.
Pole kwa msiba ndugu na familia za huyo mtangazaji.