Hivi hawa pamoja na kufiwa bado wakaendelea na ile party ya jana kama hajadondoka mtangazaji wao? Utafikiri ni msiba wa media nyingine? Angeondoka wale watangazaji wao pendwa wangefanya hivi? Kwahili wamesikitisha sana, wangemsindikiza mwenzao then hata wiki inayofata waendelee!
Hii media inazidi kuingia vibaya kwenye hii industry, imagine huu msiba ungekuwa clouds! Huwezi kufanya wafanyakazi wajione familia namna hii hata kama unalipa vizuri.
Clouds imedumu sababu ya undugu uliojengwa muda mrefu ambao itachukua miaka mingi kubomoka lakini hawa hawana hiyo spirit toka hatua hizi za awali.
Pole kwa msiba ndugu na familia za huyo mtangazaji.