Al habibi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] goli goli goli goooooooooooooooii
Mpaka leo bado sijaona wa Kuwazidi 'Wakongwe' akina Omary Jongo, Ahmed Jongo, Charles Hillary na Juma Nkamia na waliopo naona wanapiga 'Kelele' tu na nashangaa mnavyowapa 'Sifa' wasizostahili.Ni mtangazaji gani anakuvutia zaidi anapotangaza mechi ya mpira wa miguu.
Binafsi navutiwa sana na
1. Peter Drury
"Spain on the plane, or Spain in the Russian rain
"You've heard of 'SharapOVA
"You've heard of 'KornokOVA
"Now, it's all OVER.
"Pique climbed high, Dzyuba climbed higher & Russia as a nation rose highest."
Spain lost on penalties WC 2018
2. John Champion
3. Baraka Mpenja "sauti ya radi"
Asalaaam aleykum Dar es salaam, asalaam aleykum Tanzania,
Asalaam aleykum East Africa na Duniani kote.
Mimi ni Baraka Mpenja, karibu katika Dabi ya Kariakoo.....
Mkongwe mwenzangu una msahau vipi Ezekiel MalongoMpaka leo bado sijaona wa Kuwazidi 'Wakongwe' akina Omary Jongo, Ahmed Jongo, Charles Hillary na Juma Nkamia na waliopo naona wanapiga 'Kelele' tu na nashangaa mnavyowapa 'Sifa' wasizostahili.
Naanza 'Kuzeeka' ndiyo maana nasahau.Mkongwe mwenzangu una msahau vipi Ezekiel Malongo
sijui ndo ninayenivutia zaidi na mimi .. namanisha aliyekuwa commententor wa coast union na prison leo ...jamaaa anajuaa kutangaza kabumbuIdi Salum Kidedea ananivutia. Baraka Mpenja ananipigia kelele tu. Mbwembwe nyingi zinaharibu
Manolas Goal..Peter Drury! Mechi ya quarter final CL Barcelona na Roma! Huyu Mzee aliuwa sana! Au lile goli la Tshabalala kwenye ufunguzi wa World Cup 2010 kule bondeni kwa Mzee Madiba
Goal for Bafana Bafana! Goal for South Africa! Goal for all Africa!”
Huyo huyosijui ndo ninayenivutia zaidi na mimi .. namanisha aliyekuwa commententor wa coast union na prison leo ...jamaaa anajuaa kutangaza kabumbu
Fatma NyangasaNi mtangazaji gani anakuvutia zaidi anapotangaza mechi ya mpira wa miguu.
Binafsi navutiwa sana na
1. Peter Drury
"Spain on the plane, or Spain in the Russian rain
"You've heard of 'SharapOVA
"You've heard of 'KornokOVA
"Now, it's all OVER.
"Pique climbed high, Dzyuba climbed higher & Russia as a nation rose highest."
Spain lost on penalties WC 2018
2. John Champion
3. Baraka Mpenja "sauti ya radi"
Asalaaam aleykum Dar es salaam, asalaam aleykum Tanzania,
Asalaam aleykum East Africa na Duniani kote.
Mimi ni Baraka Mpenja, karibu katika Dabi ya Kariakoo.....