Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
jamaaaa ile lafudhi yakeeeHuyo huyo
Wahed...asalaleee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaaaa ile lafudhi yakeeeHuyo huyo
Wahed...asalaleee
Umenena, ukimuongeza na Swed MwinyiMpaka leo bado sijaona wa Kuwazidi 'Wakongwe' akina Omary Jongo, Ahmed Jongo, Charles Hillary na Juma Nkamia na waliopo naona wanapiga 'Kelele' tu na nashangaa mnavyowapa 'Sifa' wasizostahili.
Mkuu plus Ezekiel malongo.Mpaka leo bado sijaona wa Kuwazidi 'Wakongwe' akina Omary Jongo, Ahmed Jongo, Charles Hillary na Juma Nkamia na waliopo naona wanapiga 'Kelele' tu na nashangaa mnavyowapa 'Sifa' wasizostahili.
Nyie ndo wale mitihani inakuja mirahisi lakini bado mnapata F..kidding though.Yupo jamaa alitangaza Kiss FM wakati ule ikiwa imara sana.Aliitwa Tobby the Splash. Jamaa alikua na bonge moja la vocal.Sijawahu kusikia mtangazaji wa viwango vyake hapa bongo
Mara nyingi, huwa wanatangaza Derbies na ndio partners waliotangaza mechi nyingi tangu 1995,Peter Drury akiwa na Jim Belgin huwa wananikosha sana
Tena sana tu, huwa nikiangalia kama sielewi lugha naweka muziki. Mpira auhitaji sauti.Inavutia kuangalia mechi bila sauti?
Nimecheka ssna mkuuNyie ndo wale mitihani inakuja mirahisi lakini bado mnapata F..kidding though.
Huyo mtangazaji alikuwa wa mpira?