Mtangazaji yupi anakuvutia?

Boko anamuwekea Haruna, Haruna anamrudishia Boko,, Boko anapiga ndaniii Chamaaaaaaaaaa Chama babaa, Clatous Chota Chama

Idd Salum Kidedea

2019: Simba 2-1 As Vita
 
Wapi EZEKIEL MWALONGO REDIO TANZANIA DSM. Anasemaaa gooooo goooo goooo mtu yupo katikati ya uwanja.
Aseeee wahenga ndo wataelewa ba kumkumbuka EZECKIEL MWALONGO
 
Mpaka leo bado sijaona wa Kuwazidi 'Wakongwe' akina Omary Jongo, Ahmed Jongo, Charles Hillary na Juma Nkamia na waliopo naona wanapiga 'Kelele' tu na nashangaa mnavyowapa 'Sifa' wasizostahili.
Mkuu plus Ezekiel malongo.
 
Yupo jamaa alitangaza Kiss FM wakati ule ikiwa imara sana.Aliitwa Tobby the Splash. Jamaa alikua na bonge moja la vocal.Sijawahu kusikia mtangazaji wa viwango vyake hapa bongo
 
Yupo jamaa alitangaza Kiss FM wakati ule ikiwa imara sana.Aliitwa Tobby the Splash. Jamaa alikua na bonge moja la vocal.Sijawahu kusikia mtangazaji wa viwango vyake hapa bongo
Nyie ndo wale mitihani inakuja mirahisi lakini bado mnapata F..kidding though.

Huyo mtangazaji alikuwa wa mpira?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…