GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Naona umeamua kuja kumsifia mke wa boss apa Jamii ForumNimekuwa siku hizi nikivutiwa mno kila nimwonapo Mtangazaji mahiri na mwenye mvuto wa aina yake na uliotukuka kabisa Zamaradi Mketema akiwa ana mwili ulioshiba na ulionenepa vizuri kiasi kwamba hadi Urembo wake unazidi kuongezeka.
Heko Kwako Zamaradi na Mumeo anayejua Kukulea sasa.
Umenenepa mno Dada hebu angalia usizidi hapo tafadhali.
Nawasilisha.
wengine wageni humu. Hawajui matumizi ya majukwaa