Mtangazaji Zamaradi Mketema hongera sasa kwa Kunenepa!

Mtangazaji Zamaradi Mketema hongera sasa kwa Kunenepa!

We jamaa wa wapi? Mtu unaemsema kanenepa yuko wapi sasa? We zamaradi nini.
 
Ndio huyu
 

Attachments

  • IMG_20170816_143256.png
    IMG_20170816_143256.png
    391.1 KB · Views: 123
Nimekuwa siku hizi nikivutiwa mno kila nimwonapo Mtangazaji mahiri na mwenye mvuto wa aina yake na uliotukuka kabisa Zamaradi Mketema akiwa ana mwili ulioshiba na ulionenepa vizuri kiasi kwamba hadi Urembo wake unazidi kuongezeka.

Heko Kwako Zamaradi na Mumeo anayejua Kukulea sasa.

Umenenepa mno Dada hebu angalia usizidi hapo tafadhali.

Nawasilisha.
amameno kama vampire yule dada
 
Back
Top Bottom