Huwezi jua dada yangu. Mepenzi ni kitu complex sana. Ukute kanajua kukatika na wembamba huohuoHivi Ruge sijui kakapendea nini, Skeleton tupu.
Mimi ni mmoja wa watu wanaopenda Skeleton tupu mpaka watu wananishangaaHivi Ruge sijui kakapendea nini, Skeleton tupu.
Hahahahah
Wengine hao ma model ndiyo ugonjwa wetu hatupemdi MatunyetunyeHivi Ruge sijui kakapendea nini, Skeleton tupu.
Hivi Ruge sijui kakapendea nini, Skeleton tupu.
Wivu utakuua!Hivi Ruge sijui kakapendea nini, Skeleton tupu.
Fafanua kidogo maelezo yako.
Oh oo oo!!![emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Hivi Ruge sijui kakapendea nini, Skeleton tupu.
utakuwa mwanamke wewe, kama sio mwanamke basi mtoto si ridhiki ndio wale mkitembea vidole juu,Picha hii hapaa...
Sina mie mnipishe..
Hivi walifunga ndoa?Nasikia huyu dada ni UTAMU WA RUGE adui ya Bashite
utakuwa mwanamke wewe, kama sio mwanamke basi mtoto si ridhiki ndio wale mkitembea vidole juu,
amameno kama vampire yule dadaNimekuwa siku hizi nikivutiwa mno kila nimwonapo Mtangazaji mahiri na mwenye mvuto wa aina yake na uliotukuka kabisa Zamaradi Mketema akiwa ana mwili ulioshiba na ulionenepa vizuri kiasi kwamba hadi Urembo wake unazidi kuongezeka.
Heko Kwako Zamaradi na Mumeo anayejua Kukulea sasa.
Umenenepa mno Dada hebu angalia usizidi hapo tafadhali.
Nawasilisha.
Huwezi ukanyimwa kila kitu mkuu, yeye kapewa akiliya kukaa na mwanammeHivi Ruge sijui kakapendea nini, Skeleton tupu.