Mtangazaji Zamaradi Mketema hongera sasa kwa Kunenepa!

Huyu si ndiyo yule mwenye bifu na Dina Marios (nam admire huyu dada sana nikiangalia na historia ya maisha alikotoka kupoteza mama etc) anyways nisichnganye mambo... ni huyu au nakosea? Kwani Ruge amemuwowa au come to stay in action!?
Ndiyo huyo huyo,inasemekana walikuwa wana fight kuwa na Boss.Sasa nadhani kikaamua kumletea mizinguo dada wa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Ruge sijui kakapendea nini, Skeleton tupu.
Weeee...kitanda usicholalia hujui kunguni wake.

Hao ndio wenyewe, tena ukute mmejaliwa mnaishi kwenye mansion, unaweka begani mnahama tu locations...kitchen, bathroom, sitting room, store, garage, dining room, study room.

Sasa uniambie kwa Asha boko sijui utaanzia wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…