Mtangazani Maulid Kitenge wa EFM na wa Redio zingine msiache Kuisifia Unbeaten Record ya Yanga SC iliyoishia rasmi leo

Mtangazani Maulid Kitenge wa EFM na wa Redio zingine msiache Kuisifia Unbeaten Record ya Yanga SC iliyoishia rasmi leo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Yaani kama Simba SC na Argentina zinafungwa tena zikiwa na Nyota wao akina Chama na Messi Wewe Yanga SC ni Nani Usifungwe? Kudadadeki.

Wana Yanga SC Wote mlioko hapa JamiiForums jiandae Kunichukia GENTAMYCINE kuanzia sasa (leo) na tukutane hapa hapa baadae Saa 4 Kamili Usiku.
 
Japokua ulinisababishia ban ila kwa leo,huu ndio uzi bora kuliko zoote kula like.
 
Tumempandisha IHefu tawi letu Ili ashishuke daraja mpaka Sasa yupo nafasi ya 13..
 
Linapokuja suala la unafiki, Kitenge na Kaniki Manara ni mtu na pacha wake na kinachowatofautisha ni rangi za ngozi zao.
 
Popoma aliyetukuka
ihefu
20221129_185427.jpg
 
msisahau matatizo yenu..bado timu lenu bovu,inawezekana kufungwa kwa yanga ndo ubingwa kwenu tayari
 
Tazamieni game ijayo hadi mashabiki kupewa bahasha ili tu wasishangilie...utopromax wamejifunza kitu leo..kumbe bila bahasha wao c kitu....inasemekana hata mshahara wa mwezi.huu wachezaj watapewa mshahara nusu huku nusu nyingine ikielekezwa kweny kapu la hongo...tutarajie kuona marefarii wakizabuliwa vibao kwa unfair play kwa team pinzan
 
Back
Top Bottom