Mtani Jembe kimyaa.!

Kifurukutu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
4,641
Reaction score
6,694
tumezoea kwa miaka michache iliyopita mfululizo uwepo wa mpambano mkali kati ya watani wa jadi SIMBA V YANGA.., unaodhamiwa na bia ya Kilimanjaro.
Lakini kwa mwaka huu kumekuwa kimya amna ata dalili za uwepo wa mtani jembe! vipi wadau wakuu wako wap mbona awatoi tarifa?
 

Kwa miaka miwili iliyopita Simba alikuwa Mtani Jembe. Mwaka huu hakuna haja ya kucheza tena maana Yanga ndiye Mtani Jembe.

Anayebisha aende akawaambie TBL waipange hiyo mechi muda wowote ili tuoneshe ubora wetu.
 
TBL walisema mwaka huu haitakuwepo
 
bora irejeshwe tucheze na azam! yanga watatimua kocha tena
 
Kuna timu ilikuwa inadhalilika sana kila mtani jembe inavyokaribia. Imeonekana hili kombe halina ushindani maana bingwa ni yuleyule anayejulikana kabla hata ya mechi. Ile timu ambayo huwa ndio washindi wa pili wa kudumu wa kombe hili walikua wanadai eti hawana mpango na kombe la 'bonanza, aka fete.
 
Mtani Jembe imefutwa baada ya Simba Koko kupoteza vigezo vya udhamini vya TBL. Kwa mwaka wa tatu mfululizo Simba Koko wameshindwa kufuzu kucheza michuano ya kimataifa au kwa lugha nyingine kwamba Simba Koko hawajaulizwa passport yapata mwaka wa 3.

Kwa sababu hiyo (ya Simba kushika nafasi ya 8) TBL sio tena mdhamini binafsi wa Simba Koko na hata basi lao walipaswa kusuchukua ni huruma tu.
 
yanga uwezo wa kumtoa out simba mbele ya kikombe hamuwez! mshukuru imefutwa mana mngeanza kuangaika na kocha mwingne
 
Kwa miaka miwili iliyopita Simba alikuwa Mtani Jembe. Mwaka huu hakuna haja ya kucheza tena maana Yanga ndiye Mtani Jembe.

Anayebisha aende akawaambie TBL waipange hiyo mechi muda wowote ili tuoneshe ubora wetu.

Mmmeshinda bila kushindana...?
 

Sio kweli. Mtani jembe siku zote ni Simba. Yanga ni Mabingwa wa Vodacom Premier League, sio kombe ya Mbuzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…