Winnone
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,521
- 4,143
Sasa hizi yeboyebo nilimweleza sina au kaamua tu tena hazinitoshi hata kunitosha hapana sio haki
[emoji3][emoji3][emoji3] weka ata toilet huko wanaendag weny size tofauti za miguu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hizi yeboyebo nilimweleza sina au kaamua tu tena hazinitoshi hata kunitosha hapana sio haki
Acha maneno mengi, leta pichaAmeamua kunikomesha na kuniaibisha mbele ya familia yangu
[emoji3][emoji3][emoji3] weka ata toilet huko wanaendag weny size tofauti za miguu
Zawadi nimepokea na aibu nimepokea pia lakini sio sawa, wao walipewa mamilioni mimi zawadi ya yeboyebo sasa nina sababu gani kua mtani?
Kwakua hazipigiki picha hizo ni za Mbagala Maturubai.Naweka picha hapa maana hii sio sawa, apige mamilioni mtu mzima nitumiwe yeboyebo kweli?