Mtani tamasha la kesho likawe la mafanikio

Rwahiyorogo

Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
64
Reaction score
59
Pamoja kufanikisha kesho ila wachezaji hawana budi kucheza kwa kuangalia afya zao wala siyo kuwafurahisha watu majukwaani maana wakiumia itakuwa hasara kwa timu.
 
Pale nyuma wamebakiwa na mabeki 3 pekee wa kati. Ikatokea mmoja akaumia, na mwingine akapewa kadi nyekundu ligi itakapoanza! Aisee huo uchochoro wake utakuwa ni kama ule wa mitaa ya Iyunga kule Mbeya.
 
Pamoja kufanikisha kesho ila wachezaji hawana budi kucheza kwa kuangalia afya zao wala siyo kuwafurahisha watu majukwaani maana wakiumia itakuwa hasara kwa timu.
Ni kama tumewaza kitu kimoja. Nadhani TFF inapaswa kupanga ratiba Kwa kuzingatia pia utamaduni wa baadhi ya timu. Ligi ya ngao haikuwa na umuhimu siku chache baada ya matamasha na siku 1 kabla ya Ligi kuanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…