Rwahiyorogo
Member
- Jul 14, 2018
- 64
- 59
Pamoja kufanikisha kesho ila wachezaji hawana budi kucheza kwa kuangalia afya zao wala siyo kuwafurahisha watu majukwaani maana wakiumia itakuwa hasara kwa timu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukifungwa mtafaidika na niniIkawe kheri kwa mikia kesho. Nawaombea sherehe njema ila wafungwe kwenye mechi.
Najua sherehe itapendeza...na mtajaza uwanja...mfungwe ili tupate pa kutokea.Tukifungwa mtafaidika na nini
Ni kama tumewaza kitu kimoja. Nadhani TFF inapaswa kupanga ratiba Kwa kuzingatia pia utamaduni wa baadhi ya timu. Ligi ya ngao haikuwa na umuhimu siku chache baada ya matamasha na siku 1 kabla ya Ligi kuanza.Pamoja kufanikisha kesho ila wachezaji hawana budi kucheza kwa kuangalia afya zao wala siyo kuwafurahisha watu majukwaani maana wakiumia itakuwa hasara kwa timu.