Mtani ulishawahi kujiuliza utatokaje hapa?

Mtani ulishawahi kujiuliza utatokaje hapa?

hebrews

Senior Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
168
Reaction score
258
IMG_20170706_183235_815.jpg
 
Mlivyokuwa mazezeta mmekwisha sahau Rufaa yenu ya FIFA.....!
 
Hahaaaa hahaaaa matopeni fc hawawezi kutoka kamwe!
 
Mpira wa bongo upo mdomon sana....
 
Simba ni Simba tu! anaogopesha hata kama amekufa!!
 
Back
Top Bottom