Mtani unauona lakini usajili unaofanywa Simba SC?

Yupi anafaa kuwepo sasa? Make simba inahitaji wachezaji wenye umri mkubwa wa kuwasidia vijana.

Mapunda,Okwi,Owino hawa ni chipukizi.Tatizo kubwa la Simba ni uongozi hao kina Hans Pope na Kaburu ndio wanaharibu timu.Tabia ya kufukuza makocha,kupanga timu na kusajili wachezaji wabovu
 
Yupi anafaa kuwepo sasa? Make simba inahitaji wachezaji wenye umri mkubwa wa kuwasidia vijana.

tunaenda msimu wa 4 sasa, bado hao vijana hawajakua tuu??.
 
Mgosi?,sioni umuhimu wake kiukweli,kuna vijana wengi wazuri wangepewa nafasi siyo huyu zilipendwa..
 

Sina cha kusifia hapo, huu usajili hautatuletea ubingwa. I love Simba
 
Hivi huu usajili ni mapendekezo ya nani? Maana timu yetu haina kocha hadi muda huu na kuna uhakika gani kocha anaekuja hawa ndo aina ya wachezaji anao wataka?
 

Kusifia timu yetu kwa sasa inabidi ujitoe ufahamu kwanza. Timu ya msimu uliopita ilikuwa nzuri lakini sijui ilikumbwa na mini mpaka ikawa na safe kibao. Hakuna mechi iliyoniuma kama ile ya prison walivyosawazisha dakika ya 90, hata na ile ya mbeya city, tulipewa penati lakini tukakosa.

Kwa mtindo huo was kusajili kila mwaka wachezaji zaidi ya watano ni kuendelea kuivutuga timu.

Tatizo lingine la wachezaji wetu wakiwa timu zingine watajitahidi kuifunga Simba lakini wakienda Simba inakuwa ni full majanga.
 

Rekodi huwa zinadanganya et.

Serunkuma
 
Hongereni kwa kujadili matatizo ya timu yenu maana tulizoea kutwa kucha..yanga..yanga,naona mmekuwa sasa
 


Mkuu, hapo number 6 angalia mfano wa Sserenkuma. Record hizo hufuata mazingira halisi. Bongo anaweza kutoka kapa.
 
Kwani Simba Ukawa wameridhia usajili huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…