Hayo majina ya timu: moja ya Angola na ingine ya Msumbiji umeyaonea huruma sana. Ungecheza na hayo majina ki-ukubwa, thread ingenoga kinyama. Hata hivyo kwa jinsi ulivyoiweka bado ina kautamu ka mbaaaaliYaani sijui SIMBA wameikosea nini
CAF.......yaani dah.....kumbe
akifanikiwa kuitoa LIBOLO huko
Angola.... hatua inayofuata
anakutana na timu inayoitwa
FERVIALO CHIPUMBU ya
MSUMBIJI..........
Dah kazi ipo kwa MNYAMA mwaka
huu...........
Hayo
POLE MTANI.........sasa najiuliza
sijui nikuombee Ulitoe LIBOLO ili
ukutane na CHIPUMBU.....