Mtani wangu Kocha Minziro wa Geita Gold FC acha Kuzurura hovyo Usiku huu, kalale Kesho Unafungwa tu hata 'mroge' vipi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Halafu hiyo Gari aina ya Harrier Nyeusi kila mara tu inakuja hapo Hotelini Kwenu inajulikana ni ya GSM inafuata nini ikiwa na hao Wazee Watatu na huyo Mmoja ana Mguu mbovu anaishi Mbagala Charambe?

Kocha Minziro endelea tu Kudanganywa na hao Watu wako wa Yanga SC ila nikuonye mapema Simba SC hivi sasa tumeshakuwa Nguvu Moja na nisikufiche 'tunaroga' vibaya kiasi kwamba hadi tunamuudhi Maulana ila hatuna jinsi hivyo Kesho Unafungwa nyingi kisha hao Yanga SC wako nao wameandaliwa Kipigo ambacho hawatakisahau Maishani mwao hiyo Desemba 11, 2021 kwa Mkapa.

Kocha Minziro tafadhali hivi sasa inaelekea Saa 7 Usiku hebu kalale acha Kuzurula hovyo kwani nyuma ya hiyo Hoteli mliyopangiwa na Yanga SC kwa Maelekezo 'Maalum' kuna Masela (Wahuni) na ukifanya mzaha watakuongezea Mapengo katika Meno yako hayo baada ya Hussein Amaan Marsha kukipiga 'Kipepsi' cha maana ulipomchezea 'Kihuni' kwa kutaka kumfanyia kile alichofanyiwa John Boko na Beki Juma Nyoso mpaka yakamkuta kwa Kuadhibiwa.

Kesho baada ya Mechi tukutane pale Temeke Wailes kwa Yule Shemeji yetu umpendae ( japo Yeye mi mwana Simba SC ) ili tugawane hizo Pesa ulizopewa na Watu wa Yanga SC wakiongozwa na GSM ili uwape Wachezaji za Kuanzia na wakitimiza 'Mkakati Maalum' mtawamalizia.
 
Wewe mbona ulali mwenzako ndo alale? Unampangia mtu alale saa ngapi! Au wote mmekutana kwenye anga za kichawi amekuzidi ujanja unakuja kulalamika uku
 
Halafu hiyo Gari aina ya Harrier Nyeusi kila mara tu inakuja hapo Hotelini Kwenu inajulikana ni ya GSM inafuata nini ikiwa na hao Wazee Watatu na huyo Mmoja ana Mguu mbovu anaishi Mbagala Charambe?

Kocha Minziro endelea tu Kudanganywa na hao Watu wako wa Yanga SC ila nikuonye mapema Simba SC hivi sasa tumeshakuwa Nguvu Moja na nisikufiche 'tunaroga' vibaya kiasi kwamba hadi tunamuudhi Maulana ila hatuna jinsi hivyo Kesho Unafungwa nyingi kisha hao Yanga SC wako nao wameandaliwa Kipigo ambacho hawatakisahau Maishani mwao hiyo Desemba 11, 2021 kwa Mkapa.

Kocha Minziro tafadhali hivi sasa inaelekea Saa 7 Usiku hebu kalale acha Kuzurula hovyo kwani nyuma ya hiyo Hoteli mliyopangiwa na Yanga SC kwa Maelekezo 'Maalum' kuna Masela (Wahuni) na ukifanya mzaha watakuongezea Mapengo katika Meno yako hayo baada ya Hussein Amaan Marsha kukipiga 'Kipepsi' cha maana ulipomchezea 'Kihuni' kwa kutaka kumfanyia kile alichofanyiwa John Boko na Beki Juma Nyoso mpaka yakamkuta kwa Kuadhibiwa.

Kesho baada ya Mechi tukutane pale Temeke Wailes kwa Yule Shemeji yetu umpendae ( japo Yeye mi mwana Simba SC ) ili tugawane hizo Pesa ulizopewa na Watu wa Yanga SC wakiongozwa na GSM ili uwape Wachezaji za Kuanzia na wakitimiza 'Mkakati Maalum' mtawamalizia.
Achana na mambo za tarehe 11,hiyo siku hamna kitu mtaambulia... ni hao tu Geita gold ndo hawawezi kiserikali,kichawi na hata kipesa lkn kwa Yanga ukibahatika ni duloo
 
Back
Top Bottom