GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama Mama hakuoni pamoja na Kelele zote juu yako na bado uko tu naamini hata Simba SC yangu hii ambayo kwa sasa ikiwa kwa Farao Misri huku ikiogopa Kuthubutu kucheza Mechi ya Kirafiki ya maana kama Wanaojitambua nini wanafanya Yanga SC waliocheza yao majuzi kwa Mkaburu South Afrika ikimtumia inaweza kuwa na Mafanikio ya Kiulinzi wa Mganga pengine unayemtumia na hata mwaka / msimu huu kuwa Bingwa japo Kiufundi kwa sasa GENTAMYCINE Mimi hilo silioni.
Ila Mtani wangu wa Kinyiramba Mwigulu Nchemba Wewe ni Kiboko. Yaani Mama kila akibadili tu Wewe wala hakuoni.
Ila Mtani wangu wa Kinyiramba Mwigulu Nchemba Wewe ni Kiboko. Yaani Mama kila akibadili tu Wewe wala hakuoni.