GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kigogo media haijawahi mchafua sa 💯 japo Huwa inafanya ukosoaji partial na ndio imetumika kuwakandamiza hao waliotumbuliwa.Mwigulu na chalamila waganga wao sio wa kawaida... watumiwe na taifa ktk baadhi ya mambo aisee..
Hata chalamila anauwezo(prowess) kuliko mwigulu! Hapa wakumshangaa in mwigulu mbona hatumbuliwi....Kigogo media haijawahi mchafua sa 💯 japo Huwa inafanya ukosoaji partial na ndio imetumika kuwakandamiza hao waliotumbuliwa.
Ukifuatilia sana inahusishwa na bwana mvaa skafu za kizalendo so Huwa anastahiwa.
My Take: Kwa nini Mwigulu mnamchukia sana hasa Wapinzani?
Wapo DODOMA kawapangia hoteli, kutoka GABONKama Mama hakuoni pamoja na Kelele zote juu yako na bado uko tu naamini hata Simba SC yangu hii ambayo kwa sasa ikiwa kwa Farao Misri huku ikiogopa Kuthubutu kucheza Mechi ya Kirafiki ya maana kama Wanaojitambua nini wanafanya Yanga SC waliocheza yao majuzi kwa Mkaburu South Afrika ikimtumia inaweza kuwa na Mafanikio ya Kiulinzi wa Mganga pengine unayemtumia na hata mwaka / msimu huu kuwa Bingwa japo Kiufundi kwa sasa GENTAMYCINE Mimi hilo silioni.
Ila Mtani wangu wa Kinyiramba Mwigulu Nchemba Wewe ni Kiboko. Yaani Mama kila akibadili tu Wewe wala hakuoni.
rafiki mwigulu ni mtendaji bora sana kazini ni myu ambae finance inaiweza vizuriKama Mama hakuoni pamoja na Kelele zote juu yako na bado uko tu naamini hata Simba SC yangu hii ambayo kwa sasa ikiwa kwa Farao Misri huku ikiogopa Kuthubutu kucheza Mechi ya Kirafiki ya maana kama Wanaojitambua nini wanafanya Yanga SC waliocheza yao majuzi kwa Mkaburu South Afrika ikimtumia inaweza kuwa na Mafanikio ya Kiulinzi wa Mganga pengine unayemtumia na hata mwaka / msimu huu kuwa Bingwa japo Kiufundi kwa sasa GENTAMYCINE Mimi hilo silioni.
Ila Mtani wangu wa Kinyiramba Mwigulu Nchemba Wewe ni Kiboko. Yaani Mama kila akibadili tu Wewe wala hakuoni.
Ni kweli finance ya kugawa wastan kwa idadi ndio inayomfanya atumbuliwi. Sio kwamba yeye ni bora sana ila anatumika vyema na boss wake katika maswala ya KKS.rafiki mwigulu ni mtendaji bora sana kazini ni myu ambae finance inaiweza vizuri
Hamna kitu hapo.rafiki mwigulu ni mtendaji bora sana kazini ni myu ambae finance inaiweza vizuri
Hamna mpinzani anamchukia mwigulu.Kigogo media haijawahi mchafua sa 💯 japo Huwa inafanya ukosoaji partial na ndio imetumika kuwakandamiza hao waliotumbuliwa.
Ukifuatilia sana inahusishwa na bwana mvaa skafu za kizalendo so Huwa anastahiwa.
My Take: Kwa nini Mwigulu mnamchukia sana hasa Wapinzani?
huna unalojua ni lawama tu za bila ushahidiHamna kitu hapo.
Syncretism.Yani huyu jamaa na mkewe huwa najiuliza Sana sababu Wana waganga kisha Wana Nabii wao Kule makongo juu na gari wamenunulia sasa sijui huwa wanaamini Mungu au Kule maeneo yetu
Msenge anaroga kinyama. Ila siku yake ipoKama Mama hakuoni pamoja na Kelele zote juu yako na bado uko tu naamini hata Simba SC yangu hii ambayo kwa sasa ikiwa kwa Farao Misri huku ikiogopa Kuthubutu kucheza Mechi ya Kirafiki ya maana kama Wanaojitambua nini wanafanya Yanga SC waliocheza yao majuzi kwa Mkaburu South Afrika ikimtumia inaweza kuwa na Mafanikio ya Kiulinzi wa Mganga pengine unayemtumia na hata mwaka / msimu huu kuwa Bingwa japo Kiufundi kwa sasa GENTAMYCINE Mimi hilo silioni.
Ila Mtani wangu wa Kinyiramba Mwigulu Nchemba Wewe ni Kiboko. Yaani Mama kila akibadili tu Wewe wala hakuoni.