Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Mkuu gari ni gari tu, tusifarijiane.Gari Gani kanunua?maana kunagari zingine ni sawa tu na ambaye Hana gari
Mbna kama umetaja ISTGari Gani kanunua?maana kunagari zingine ni sawa tu na ambaye Hana gari
IstGari Gani kanunua?maana kunagari zingine ni sawa tu na ambaye Hana gari
Shida anaongea sanaDalili za ushirikina zime anza kuonekana ndani yako.
angalia usi mroge au kutafuta wezi wali ibe au kuharibu hilo gari.
Kama kawaida kamati ya roho mbaya tunaendelea na dua gari yake ikae juu ya mawe baada ya miezi kadhaa🤲🏿