Mtani wangu nshomile kanunua gari basi tunapata shida kweli hapa kijiweni tunapokunywa kahawa, yeye ndiyo mteja pekee mwenye usafiri

Mtani wangu nshomile kanunua gari basi tunapata shida kweli hapa kijiweni tunapokunywa kahawa, yeye ndiyo mteja pekee mwenye usafiri

Gari Gani kanunua?maana kunagari zingine ni sawa tu na ambaye Hana gari
 
Dalili za ushirikina zime anza kuonekana ndani yako.

angalia usi mroge au kutafuta wezi wali ibe au kuharibu hilo gari.
 
Kama kawaida kamati ya roho mbaya tunaendelea na dua gari yake ikae juu ya mawe baada ya miezi kadhaa🤲🏿
 
Ila wabongo tumezidi kwa roho za kichawi aiseee
 
Back
Top Bottom