Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ndo kiboko yako ee!Wapi na anataka nini...!?
Umekomaa ukikanyanga buku zinatoka Silva Za Jero mbiliSura kama uvungu wa pumb*
Auto correct inazinguaZayn ni lugha gani?
Si unaitoa tu mkuu,Auto correct inazingua
NishaitoaSi unaitoa tu mkuu,
Muone ulivyo domo zege hadi makandarasi wanakutafuta
unakichwa kikubwa kama cha sisimiziPeleka pua kama bodi LA trekita
We wa juu yangu macho ka unachungulia mnduku
Shavu kama paji la uso la mkaza vyumaNa weapo sura ka Dr shika kabanwa na mlango
Chogo kama pembe tatu ya BermudaPeleka pua kama bodi LA trekita
Kichwa kama mbegu ya ubuyuChogo kama pembe tatu ya Bermuda
Shingo ka mdogo wake ng'ong'oiKichwa kama mbegu ya ubuyu
Sawa,endelea kutumisha kaul8 mbiu za ukoo wenu ,et munasemaga "heri mkata mauno kuliko mkataa tamaa"Shingo ka mdogo wake ng'ong'oi
Hivi shuka zako ni za kufuta tu eti!Sawa,endelea kutumisha kaul8 mbiu za ukoo wenu ,et munasemaga "heri mkata mauno kuliko mkataa tamaa"
Hapo usikute umekalia pot ya mtotonimecheka sanaaa kwa huu mjadalaaaa......