mtoto wa kipare
Senior Member
- Jan 3, 2018
- 187
- 196
Utataka tusitaki matani
Utataka tu
Kitakika tu penda usiepende lazima ukubali tuu[emoji12] [emoji12] [emoji12]Thubutu, nitake kinatakika!
Ndio maana mwala Ugali na picha ya samakiKitakika tu penda usiepende lazima ukubali tuu[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mboga zenyewe kisamvuu !! Endelea kula[emoji41]Huwa mnakula ugali mkubwa + ugali mdogo (mnaufanya ni mboga)
Afu ukimalza kula kinabak kwenye meno 🤣🤣🤣🤣Mboga zenyewe kisamvuu !! Endelea kula[emoji41]
Manyang'au nyie
Na kaua kako, siku ukipigwa chini utabadili avatar [emoji23] [emoji23]Muone kichwa kilivyo bata kama ubao wa kusukumia chapati.
Nimeishia kucheka lol.Manyang'au nyie
Kwendraaaaaa sura nzuri kama cleopatra!Nimeishia kucheka lol.
Mie hakunifai huku. Wa chini yangu usinitanie jamaani lol.
Na ww nin ndio mana umefanana na Hajar....Kwendraaaaaa sura nzuri kama cleopatra!
Hahahaha, una sauti kama kinanda [emoji23] [emoji23]Nimeishia kucheka lol.
Mie hakunifai huku. Wa chini yangu usinitanie jamaani lol.
Muone! Sura kama emojiMuone kichwa kilivyo bata kama ubao wa kusukumia chapati.
Mashavu kama mimba ya panyaMuone! Sura kama emoji
Kwenda huko! Ndio maana unaacha nywele chumbani huku unaoga bafuniMashavu kama mimba ya panya
Matako juujuu ka engine ya ndegeKwenda huko! Ndio maana unaacha nywele chumbani huku unaoga bafuni
Muone,nywele mojamoja ka mkutano wa inziWaone..!! Wote macho yenu kama vitufe vya remote...
Kichwa kama cha Humphrey polepoleMatako juujuu ka engine ya ndege