He he he he unaenda kama unarudiTeh teh sura kama buti la jeshi limekosa kiwi
Twende sokoni tukaokote vifuu tako lako linapiga kung_fuHe he he he unaenda kama unarudi
Sura kama Ngamia anamung'unya pipiMatani yenu matamu midomo yenu inanuka.
Enhee twende twende twende basi sura kama umetapikwa
Ndio maana kwenu mzuri wewe tu.Sura kama Ngamia anamung'unya pipi
macho yamekutoka kama mjusi kabanwa na mlangoShingo kama kizibo cha speedo
Miguu kama paka wa mwendokasimacho yamekutoka kama mjusi kabanwa na mlango
Miguu kama fito za kujengea banda la miti na matopeMiguu kama paka wa mwendokasi
Una kichwa kikubwa ukitaka kujifunga ushungi unatumia shuka ft 6 kwa 6Miguu kama paka wa mwendokasi
Sura imekushuka kama umefumaniwa na mke wa mjeshiUna kichwa kikubwa ukitaka kujifunga ushungi unatumia shuka ft 6 kwa 6
bichwa hilo mpaka wanaangalia uwezekano wa kukutumia ukazibe jua somaliaSura imekushuka kama umefumaniwa na mke wa mjeshi
Domo lile kama chuchungibichwa hilo mpaka wanaangalia uwezekano wa kukutumia ukazibe jua somalia
una kichwa kikubwa kama umevaa helmet ya bodabodaDomo lile kama chuchungi
ndiyo maana ww ni kaka yake diamonduna kichwa kikubwa kama umevaa helmet ya bodaboda
una bichwa kubwa mpaka ukila wanaulizana utaamkajendiyo maana ww ni kaka yake diamond
Ha ha ha hauna bichwa kubwa mpaka ukila wanaulizana utaamkaje
hhahaahahahaaaaaaaaaaaaaaaWe ni mweusi hadi ukiingia kwenye daladala inakuwa tinted