Mtanie wa juu yako

Mtanie wa juu yako

HILOOO.jpg
 
Twende twende twende miguu kama chelewa. ... Twende twende macho kama panzi.....
Twende twende nywele kama mkutano wa inzi...
Twende twende tumbo kubwa kama pakacha la embe.....
Twende twende masikio kama popo......
Twende twende mdomo kama kawa..... huyooo mdomo kama bakuli. ...
Twende twende mwembamba kama chelewa.....
Twende twende muone kwanza sauti mbayaa ukiimba watu wote wanakusanyika kwa mjumbe wanajua mbiu imepigwa...... muone kwanza....
Humtishi hunibabaishi na wala sikuogopi. ... ukinipiga unanionea... ukiniacha unaniogopa...... lione kwanza..... Bichwa kubwaa kusikitika huwezi ukipata taarifa ya msiba unasikitika kwa kutingisha mwili mzima badala ya kichwa...... naenda hukooo kalaleee achana na mimi weweee
Huyooo mtoto mayai huyooo .....huyooo mtoto wa get kali huyoooooo. ........

Yangu ndo hayo.

Kasie .
 
Demu wako mnene mpaka akivaa nguo nyekundu unadhani kibanda cha M-pesa
 
Back
Top Bottom