MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 4,099
- 7,466
Ati pua zako ni kubwa sana kiasi kwamba ukiwa mkabala na mwelekeo wa upepo zinaanza kupiga kelele, Uuuuuuuh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muone ulivyo domo zege hadi makandarasi wanakutafuta
Kwenu ni weusi mpaka mkijiangalia kwenye kioo kinaandika plz waitDomo ka buti la mgambo
Kwenu ni weusi mpaka mkijiangalia kwenye kioo kinaandika plz wait
Una sura mbaya kama nyerere aliyeonekana kwenye mti
Una sura mbaya kama unapuliza moto wa kuni[emoji12]Huku tuki refresh mind na pilikapilika za kusaka tonge tupumzike kwa kutaniana kidogo
Mtanie wa juu yako hadi aombe poo!! [emoji44]
Kichogo kama ndoanoWe ni mweusi hadi ukiingia kwenye daladala inakuwa tinted
unaangalia kama jogoo shogaKichogo kama ndoano
macho kama ya kambale mjaneUna sura mbaya kama unapuliza moto wa kuni[emoji12]
macho kama ya kambale mjane
Kisigino kama kipande cha sabuniKichogo kama ndoano
Hahaha na wewe unanuka kibeberuMbona na wewe unapoteza mda kwenye ku_ coment domo kama pindo la chupi
Teh teh sura kama buti la jeshi limekosa kiwiHahaha na wewe unanuka kibeberu