Mtanzania Abdulrazak Gurnah ashinda Tuzo ya Nobel katika Fasihi

Unamuamini Mungu?
 
LIni Lumumba mtaandaa pati ya kupongeza juhudi hizi za sirikali ya hangaya kutuletea mafanikio haya? tena kwakua alizaliwa zeniberi baaasi tena balaa
 
Hatimaye ,Tanzania imetunikiwa own Wole Soyinka!
 
Congrats, I will always be proud of your achievement. Accept my kindest personal regards.
 
CNN wamekosea. Paradise ilikuwa shortlisted lakini haikushinda.


Amandla...
 
SNa anafanya nini..?

Huyo Si Mtanzania ni M Zanzibar
Kwa Mujibu wa sheria ya uraia Tanzania, Mzanzibari ni Mtanzania na kwa mujibu wa sheria ya Mzanzibari, mtu yeyote ambaye kabla au tarehe 12 Januari 1964 alikuwa raia wa sultani huyo ni Mzanzibari
 
Haya siyo majina ya kitanzania. Nilitegemea majina ya akina Mbwana, au Rutashobolwa au Moshi kumbe ni waarabu/wagunya..
Mzanzibari aliyekimbia vitisho vya waafrika dhidi ya waarabu.

Kwamba bado ameshikilia uraia wake wa Tanzania ni jambo la kujivunia.
 
Naye ni Mtanzania ikiwa hajaukana Utanzania au Uzanzibari
Tz hatuna uraia pacha mtu ameishi huko miaka yote hadi kuwa prof. Eti mnajitapa mtanzania ukiulizwa hata kitabu chake kimoja ushawahi kukiona utatoa mimacho tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…