TANZIA Mtanzania Abraham Mgowano aliyeajiriwa na Google afariki dunia kwa kuanguka kwenye Boti na kuzama

Nimekuwa nikijiuliza mbona watanzania wanaofanya kazi nje hawastaafu huko ?

Wengi plans zao kufanya kazi kama miaka 10 then kurudi bongo
 
Viongozi wetu wajifunze kuboresha maslahi ya wataalamu.

Imagine Jamaa ameacha kufanya kazi kwenye Nchi yake akaenda Ughaibuni

Prof Benno Ndulu alikuwa anapiga kazi US

Anna Tibaijuka alikuwa anafanya kazi US

William Mgimwa naye hivyo hivyo

Prof Sospeter Muhongo alikuwa US


Hii inaonesha kama Nchi tumeshindwa kuwatumia Vizuri Wataalamu wetu na kuwapa thamani inayostahili 🙌

Rest in peace Champ 😭
 
Stori yake ni sawa na ile ya mwanariadha wa Kenya Kelvin Kiptum Cheruiyot aliyefariki kwenye ajali ya gari, Very young kabla hajafaidi matunda ya kazi yake...

Graveyard is full of unaccomplished dreams...
Huyo Kiptum ni accidental death kwa sababu alikuwa ana drive mwenyewe akiwa na trainer wake na wote walikufa on the sport.
 
Yani uache kufanya kazi USA kwenye utaalamu uje kufanya kazi Tanzania iliyojaa siasa na janja janja kila sekta..

Sio hao tu kuna yule Benjamin Fernandes mwanzilishi wa NALA alikataa kuweka makao makuu ya kampuni yake Tanzania akaamua bora aende Nairobi Kenya.
 
kiukwel imeniuma sana mtyu unapambana unasoma mdaa wakula matunda mungu anakuita mapema dah Sipati picha walio kuwa wanategemea mchango wake jmn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…