Mtanzania acha kuji-stress kuwalipia watoto wako mamilioni kwenye shule za English Medium. Kilichomtokea Mr. Ibu kinaweza kukutokea hata wewe

Simsomeshi mwanangu ili baadae aje kuwa ananipa hela. La hasha! Ninamsomesha mtoto wangu ili aweze kupata uwezo wa kujitegemea mwenyewe na kuwa responsible member of a society.

Kuwa responsible member of a society ni pamoja na kuwa useful to his or her parents or siblings in time of need like what happened to Mr.Ibu.

Watoto wake walicho takiwa kufanya ni kusimamia zoezi zima la matibabu ya baba yao.

Now see what they have done. What if kama Mr Ibu ali spend mamilioni kwenye "elimu" ya watoto wake? Probably atakuwa anatamani siku zirudi nyuma na atajilaumu why did he stress himself to pay his hard earned millions for his kids so called " education" only for them to prove their uselessness at the time when they had only one option and that is to be useful to their father.

What if kama angekuwa amewasomesha kwenye shule za serikali ambazo hazina gharama? Asinge regret sana kwa sababu asingekuwa amejistress kulipa ada ili watoto wake wasomee ujinga.

Kwako Wewe masikini wa kitanzania unae jaribu kuficha umasikini wako kwa ndugu jamaa na marafiki zako kupitia kuwasomesha watoto wako kwenye shule za English Mediums, take note. Kilicho mtokea Mr.Ibu kinaweza kukutokea hata wewe kwa namna moja ama nyingine.

Don't stress yourself. Soemsha watoto wako kwenye shule ambazo hazitakupa stress ya kulipa ada( kayumba)..

Usi idhulumu nafsi yako. Upo tayari kumlipa kila mtu kuanzia mmiliki wa shule anayo soma mtoto wako lakini wewe mwenyewe unashindwa kujilipa. Usisahau kujilipa mkuu kwa sababu eti unalipa mamilioni kwenye shule za EM. Acha huo utoto. Eat ur money. U only live once.Jiwekee akiba yako ya baadae. Watoto wako wasimamie kwenye hizo hizo Kayumba watafaulu tu kama wanavyo faulu watoto wengine kwenye shule za Kayumba ambao wamepata division one Kali tu ilhali watoto wengine kwenye shule za private wana 3na 4 na 0 na walisoma English Mediums.

Elimu haipaswi kuwa biashara inapaswa kuwa huduma.

masikini ni fursa. CCM wanatuonyesha mifano kila siku.
 
Kwa kweli hata mimi🤣🤣🤣 cha ajabu zaidi walimu hao hao wa kata wnaapeleka watoto private yaani kama Nina uwezo siwezi peleka mwanangu kwenye huo upuuzi wa shule za serikali
Message za kipumbavu kama hizi zinapendwa na wapumbavu wengi!

Elimu siyo kupata division one au kufaulu mitihani tu ! Ni zaidi ya hapo!

Elimu inatakiwa kumpa mtu maarifa ya kupambana na mazingira yake hata kuishi popote duniani.

Shule za msingi na Secondary nyingi za Serikali ni kama VITUO VYA KUZUIA WATOTO wasilete vurugu mtaani wakati wenzao wanasoma!

Jiulize ni Kwa nini hata Diwani , Mkuu wa Kituo cha Polisi na hata Walimu Wakuu wa Shule za Serikali watoto wao wanasoma English Medium!?

Wabunge na Mawaziri wanasomesha Watoto wao Feza Schools tena hawataki hata mtaala huu wa NECTA! wanasomesha Watoto wao kwa mtaala wa CAMBRIDGE ambapo ada kwa mtoto inafika au ni zaidi ya milioni 20 kwa mwaka!

Elimu ni kitu ghali sana lakini wapumbavu wengi kama wewe mnadanganywa eti elimu ni bure!

Ukitaka kuona tofauti ya hizi elimu jaribu kukaa na Watoto wa hizi shule za Kayumba na English Medium uongee nao na kupima maarifa yao katika mambo mbalimbali uone!
Kuna tofauti kubwa mno!

Hata sisi tunaojinyima na kusomesha Watoto wetu English Medium ukilinganisha na wanaosoma mtaala wa CAMBRIDGE kuna tofauti kubwa sana!

Kusomesha Kayumba kwa asilimia kubwa ni kuchagua kuandaa Washabiki wa Simba na Yanga na wapiga kura basi! wenzenu wanaandaa Global Citizens ( raia wa Dunia)!

Kuna Wazazi juzi kati hapa habari zinarushwa eti wanapigana na Walimu kwa kuchangishwa shilingi elfu mbili (2,000) katika hizi shule za Serikali!

Watu tutafute pesa kadri tunavyoweza tuwape Watoto wetu elimu ya maana na tuache kabisa huu upuuzi wa ELIMU BURE!

Ogopa sana kuandaliwa chakula na mtu ambaye yeye hataki kabisa kutumia chakula hicho!

Nionyeshe mtoto wa Waziri au Mbunge anayesoma shule za Kayumba nikuonyeshe udhaifu wa elimu ulioko katika Shule za Serikali!

Angalia matokeo ya kidato cha pili 2023 katika Shule ya Sekondari DIPLOMASIA tena iliyoko Dar es Salaam ! ni aibu! Watoto wanapata Division 4 na Ziro basi!
Angalia shule binafsi kama Feza, Marian, Kemibos,Musabe,Waja n.k.
Hizo shule walishavuka habari za kujadili Division one, wao wanahadili wangapi wamepata Division One za point 7!
Serikali inawadanganya Wazazi masikini na wapumbavu kwamba mtoto mwenye Division Four naye amefaulu!

Shule ya Sekondari kama DIPLOMASIA ina andaa Mama Lishe , Wauza Vocha (Dadapoa), Mashabiki wa Simba na Yanga na wapiga kura basi!

Mwenye maarifa ashtuke wakati wapumbavu wanadanganywa na upuuzi wa ELIMU BURE!
 
Wengi wenu mnasomeaha watoto huko EM ili eti wajue kingereza au wafaulu form 4 na 6...hakuna lingine.Cha kujiuliza mtoto anafeli vipi kipindi hiki cha mama kizimkazi..mitihani inavujishwa hadi watsapp na telegram.

Sisi tulisoma Gov't schools na tulijua kuongea ung'eng'e vizuri tu na tulifaulu form 4,6 na kuingia huko vyuoni. Cha ajabu nyie wa private mnakuja bado kugombania kuomba loans HESLB ambazo ilistahili wale waliotoka Kayumba ndio wapate
 
ur the true son of your father
 
Message za kipumbavu kama hizi zinapendwa na wapumbavu wengi!

Elimu siyo kupata division one au kufaulu mitihani tu ! Ni zaidi ya hapo!

Elimu inatakiwa kumpa mtu maarifa ya kupambana na mazingira yake hata kuishi popote duniani.

Shule za msingi na Secondary nyingi za Serikali ni kama VITUO VYA KUZUIA WATOTO wasilete vurugu mtaani wakati wenzao wanasoma!

Jiulize ni Kwa nini hata Diwani , Mkuu wa Kituo cha Polisi na hata Walimu Wakuu wa Shule za Serikali watoto wao wanasoma English Medium!?

Wabunge na Mawaziri wanasomesha Watoto wao Feza Schools tena hawataki hata mtaala huu wa NECTA! wanasomesha Watoto wao kwa mtaala wa CAMBRIDGE ambapo ada kwa mtoto inafika au ni zaidi ya milioni 20 kwa mwaka!

Elimu ni kitu ghali sana lakini wapumbavu wengi kama wewe mnadanganywa eti elimu ni bure!

Ukitaka kuona tofauti ya hizi elimu jaribu kukaa na Watoto wa hizi shule za Kayumba na English Medium uongee nao na kupima maarifa yao katika mambo mbalimbali uone!
Kuna tofauti kubwa mno!

Hata sisi tunaojinyima na kusomesha Watoto wetu English Medium ukilinganisha na wanaosoma mtaala wa CAMBRIDGE kuna tofauti kubwa sana!

Kusomesha Kayumba kwa asilimia kubwa ni kuchagua kuandaa Washabiki wa Simba na Yanga na wapiga kura basi! wenzenu wanaandaa Global Citizens ( raia wa Dunia)!

Kuna Wazazi juzi kati hapa habari zinarushwa eti wanapigana na Walimu kwa kuchangishwa shilingi elfu mbili (2,000) katika hizi shule za Serikali!

Watu tutafute pesa kadri tunavyoweza tuwape Watoto wetu elimu ya maana na tuache kabisa huu upuuzi wa ELIMU BURE!

Ogopa sana kuandaliwa chakula na mtu ambaye yeye hataki kabisa kutumia chakula hicho!

Nionyeshe mtoto wa Waziri au Mbunge anayesoma shule za Kayumba nikuonyeshe udhaifu wa elimu ulioko katika Shule za Serikali!

Angalia matokeo ya kidato cha pili 2023 katika Shule ya Sekondari DIPLOMASIA tena iliyoko Dar es Salaam ! ni aibu! Watoto wanapata Division 4 na Ziro basi!
Angalia shule binafsi kama Feza, Marian, Kemibos,Musabe,Waja n.k.
Hizo shule walishavuka habari za kujadili Division one, wao wanahadili wangapi wamepata Division One za point 7!
Serikali inawadanganya Wazazi masikini na wapumbavu kwamba mtoto mwenye Division Four naye amefaulu!

Shule ya Sekondari kama DIPLOMASIA ina andaa Mama Lishe , Wauza Vocha (Dadapoa), Mashabiki wa Simba na Yanga na wapiga kura basi!

Mwenye maarifa ashtuke wakati wapumbavu wanadanganywa na upuuzi wa ELIMU BURE!

Usiishi kwa kukariri mkuu. Haya ndio mambo ninayo yakataza
 
EM ni money making scheme kwa wamiliki wa hayo mashule..standard ya elimu ni ileile....unapambana huku chini ili mje kujazana at university level...mkishapata degree zenu mnarudi mtaani kuzungusha bahasha. Kama mzazi unajijua huna biashara, makampuni au assets unazotaka mwanao/wanao waje wazisimamie au waziendeleze basi usijisumbue kumpeleka mwanao huko EM. Ni upotezaji wa fedha....hizo 4/5M unazolipa kama ada ya mtoto ili asome EM schools ni bora ukamfungulia fixed deposit account mwanao ili akimaliza masomo apate mtaji wa kuanzia maisha yake mtaani.
 
Kwa Tz kama unataka kuwekeza pesa zako uwe tajiri fasta wewe wekeza kwenye haya mashule ya english medium..imagine shule ina wanafunzi 1000 tu na wazazi wanalipa 3-4M fee per year....unajikuta una zaidi ya 3-4B...mwisho wa mwaka wewe unanunua mitihani unawapa wanafunzi ufaulu unaonekana mkubwa then mwakani mapopoma wanazidi kukuletea tena pesa
 
ur the true son of ur father mkuu.

Moderator naomba mu i pin hii comment kwenye Uzi wangu
 
Kwa Tz kama unataka kuwekeza pesa zako uwe tajiri fasta wewe wekeza kwenye haya mashule ya english medium..imagine shule ina wanafunzi 1000 tu na wazazi wanalipa 3-4M fee per year....unajikuta una zaidi ya 3-4B...mwisho wa mwaka wewe unanunua mitihani unawapa wanafunzi ufaulu unaonekana mkubwa then mwakani mapopoma wanazidi kukuletea tena pesa
🤣🤣🤣🤣🤣
 
EM ni money making scheme kwa wamiliki wa hayo mashule..standard ya elimu ni ileile....unapambana huku chini ili mje kujazana at university level...mkishapata degree zenu mnarudi mtaani kuzungusha bahasha. Kama mzazi unajijua huna biashara, makampuni au assets unazotaka mwanao/wanao waje wazisimamie au waziendeleze basi usijisumbue kumpeleka mwanao huko EM. Ni upotezaji wa fedha....hizo 4/5M unazolipa kama ada ya mtoto ili asome EM schools ni bora ukamfungulia fixed deposit account mwanao ili akimaliza masomo apate mtaji wa kuanzia maisha yake mtaani.
Fumadilu Kalimanzila
 
Kwa Tz kama unataka kuwekeza pesa zako uwe tajiri fasta wewe wekeza kwenye haya mashule ya english medium..imagine shule ina wanafunzi 1000 tu na wazazi wanalipa 3-4M fee per year....unajikuta una zaidi ya 3-4B...mwisho wa mwaka wewe unanunua mitihani unawapa wanafunzi ufaulu unaonekana mkubwa then mwakani mapopoma wanazidi kukuletea tena pesa
[emoji23]

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Nilistaajabu siku moja nilihudhuria mahafali ya hizi EM schools nikaambiwa kuwa kwa mwaka wazazi wanalipa zaidi ya 4M kwa ajili ya ada mbali na michango mbalimbali inapita hadi 5M.Hii ni ada ya mwanafunzi wa sekondari tu.

Shule ina zaidi ya wanafunzi 2000 ...nikajisemea kimoyomoyo..dah laiti kama wangekuwa wanajua kuwa wanapigwa pesa kizembe wasingeleta watoto ktk hii shule. Watoto wakihitimu form 6 wanakwenda kujazana katika vyuo vya kata badala ya kwenda kusoma nje ya nchi.
 
Back
Top Bottom