Mtanzania acha kuji-stress kuwalipia watoto wako mamilioni kwenye shule za English Medium. Kilichomtokea Mr. Ibu kinaweza kukutokea hata wewe

Hao ni watoto wa kuasili
Yeye siyo baba mzazi
 
Nyie ndio mnatakiwa na hawa scammers wa EM....mmevishwa joho la ujinga kuwa future ya mwanao ipo katika kusoma ktk EMs. Yaani vile vitoto vyenu vya standard 2 vikisema kwa kingereza kuwa vinataka kuwa doctors ,pilots na engineers yaani ndio mnazidi kupagawa kwenda kujistress zaidi kuingia mikopo na madeni mkawalipie mamilioni kwenye EMs bila ya kujua kuwa mnakuwa scammed na wamiliki wa hayo mashule. Hizo pesa unazotumia kuwalipia ada kwann usiwawekezee katika mashamba na mifugo ili wakimaliza wakute baba yao umewaandalia assets za kutosha kuendeleza maisha yao.?
 
Shule ina wanafunzi 2000 😆😂 alafu inachaji 4m kwa mwaka duh
 
100% correct
 
Victor Mlaki
 
Jamaa wakisha sikia tu " Dad I want to be a pilot" wanapagawa.🤣🤣🤣 Hawajui watoto huwaga wanabadilika wakibalehe. By the time mtoto anafika form 3 anaanza KUKUTANA na uhalisia wa maisha ana sema " I want to be like Konde Boy" 🤣🤣🤣 Akimaliza chuo anakuwa You Tuber au anaingia kwenye Forex🤣🤣🤣 ila acha waendelee kupigwa maana si wanataka wenyewe kupigwa bana
 

Mtu anaetoa mfano wa Mo dewji ni mpumbavu sana.

Anajua familia ya kina Mo dewji inamiliki mabilioni kabla hata Mo dewji hajazaliwa.

Mo Dewji kapewa nafasi ya baba yake kuongoza kampuni ya Mohammed Enterprises mwaka 1998. Kipindi hicho kampuni hiyo ina mauzo ya Bilioni 70 kwa mwaka.

Imagine mwaka 1998 Mo amekuta kampuni ina mauzo ya mabilioni.

Kipindi Mo dewji anasoma high school IST baba yake na Mo alikuwa ananunua kwa serikali kiwanda cha National Milling kilichokuwa kiwanda kikubwa cha ngano Tanzania

Mo dewji yupo shule baba yake ananunua viwanda kwa mabilioni.

Halafu mpuuzi humu anajilanganisha na Mo. Huku yeye mwenyewe anategemea ajira ya milioni moja na baba yake mkulima.

Ada aliyokuwa analipiwa Mo IST haifiki hata asilimia 0.00001 ya mapato ya baba yake. Ni sawa na uwe na kipato cha Milioni moja halafu ulipe ada shilingi elfu moja

Baba yake na Mo Dewji hakuwa anaenda bank kukopa ada. Ama kusumbua vikoba ili alipe ada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…