Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
That is what I am doing daily.Good for you. But umewaanda pia na maisha bila wewe ? Kwa sababu wanasema " A father who has never prepared his son for his death he failed as a father"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That is what I am doing daily.Good for you. But umewaanda pia na maisha bila wewe ? Kwa sababu wanasema " A father who has never prepared his son for his death he failed as a father"
Hao ni watoto wa kuasiliSimsomeshi mwanangu ili baadae aje kuwa ananipa hela. La hasha! Ninamsomesha mtoto wangu ili aweze kupata uwezo wa kujitegemea mwenyewe na kuwa responsible member of a society.
Kuwa responsible member of a society ni pamoja na kuwa useful to his or her parents or siblings in time of need like what happened to Mr.Ibu.
Watoto wake walicho takiwa kufanya ni kusimamia zoezi zima la matibabu ya baba yao.
Now see what they have done. What if kama Mr Ibu ali spend mamilioni kwenye "elimu" ya watoto wake? Probably atakuwa anatamani siku zirudi nyuma na atajilaumu why did he stress himself to pay his hard earned millions for his kids so called " education" only for them to prove their uselessness at the time when they had only one option and that is to be useful to their father.
What if kama angekuwa amewasomesha kwenye shule za serikali ambazo hazina gharama? Asinge regret sana kwa sababu asingekuwa amejistress kulipa ada ili watoto wake wasomee ujinga.
Kwako Wewe masikini wa kitanzania unae jaribu kuficha umasikini wako kwa ndugu jamaa na marafiki zako kupitia kuwasomesha watoto wako kwenye shule za English Mediums, take note. Kilicho mtokea Mr.Ibu kinaweza kukutokea hata wewe kwa namna moja ama nyingine.
Don't stress yourself. Soemsha watoto wako kwenye shule ambazo hazitakupa stress ya kulipa ada( kayumba)..
Usi idhulumu nafsi yako. Upo tayari kumlipa kila mtu kuanzia mmiliki wa shule anayo soma mtoto wako lakini wewe mwenyewe unashindwa kujilipa. Usisahau kujilipa mkuu kwa sababu eti unalipa mamilioni kwenye shule za EM. Acha huo utoto. Eat ur money. U only live once.Jiwekee akiba yako ya baadae. Watoto wako wasimamie kwenye hizo hizo Kayumba watafaulu tu kama wanavyo faulu watoto wengine kwenye shule za Kayumba ambao wamepata division one Kali tu ilhali watoto wengine kwenye shule za private wana 3na 4 na 0 na walisoma English Mediums.
Elimu haipaswi kuwa biashara inapaswa kuwa huduma.
Sasa Kwa elimu hiyo ya 4 ulitaka ufanye kazi kazi gani?Kwanza hizo private wananunua matokeo,nimesoma hizo shule tangu standard 1-4 ila saivi ni boda[emoji16]
Victor MlakiKwanza hizo private wananunua matokeo,nimesoma hizo shule tangu standard 1-4 ila saivi ni boda[emoji16]
Nimeipenda hii... 🤣Umeshavuka hatua ya unafiki..sasa wewe ni Mchawi kamili..
Nyie ndio mnatakiwa na hawa scammers wa EM....mmevishwa joho la ujinga kuwa future ya mwanao ipo katika kusoma ktk EMs. Yaani vile vitoto vyenu vya standard 2 vikisema kwa kingereza kuwa vinataka kuwa doctors ,pilots na engineers yaani ndio mnazidi kupagawa kwenda kujistress zaidi kuingia mikopo na madeni mkawalipie mamilioni kwenye EMs bila ya kujua kuwa mnakuwa scammed na wamiliki wa hayo mashule. Hizo pesa unazotumia kuwalipia ada kwann usiwawekezee katika mashamba na mifugo ili wakimaliza wakute baba yao umewaandalia assets za kutosha kuendeleza maisha yao.?Hujui unachoongoe Kila mahali mtu unakuwa inatakiwa ku perform vizuri sana bila kujali ni ndani ya nchi iwe kijijini au popote
Mzazi unapopeleka mtoto shule kayumba na matokeo unayo kuwa asilimia kubwa wanafanya vibaya akili unakuwa huna .Mtoto anatakiwa kujengwa ku. Perform vizuri Kila eneo anatakiwa asijenge kichwani mentality ya kuwa yeye failure kumbe umempeleka shule bovu kaangalie vitoto vinavyotandika A masomo yote na division one vina confidence Kali ya kusoma na ambition kubwa mno utasikia nataka kusoma niwe Engineer au Doctor au Professor nk failure inavunja sana confidence ya mtoto kwenye malengo ya maisha .Mzazi kumpeleka mtoto environment ya failures humtendei mtoto Haki heri hata utembee uchi Kwa kujinyima mtoto asome shule nzuri
Kilimanjaro Mfano hata ng'ombe wa maziwa mzazi hata awe maskini akiwa na ng'ombe wawili wa maziwa anasema huyo mwingine maziwa yote nauza ada ya Watoto shule nzuri huyu mwingine ndio wa nyumbani hata shamba la migomba anagawa kipande kile migomba yote ada ya Watoto shule nzuri kipande hicho kingine ndio tutakula
Future ya mtoto ni gia ya kubadilisha generation kama mlikuwa maskini future ya mtoto inatakiwa kuandaliwa vizuri kama gia ya kubadili generation kuwa kije kizazi kipya tofauti na chako kilichosoma Kayumba
Shule ina wanafunzi 2000 😆😂 alafu inachaji 4m kwa mwaka duhNilistaajabu siku moja nilihudhuria mahafali ya hizi EM schools nikaambiwa kuwa kwa mwaka wazazi wanalipa zaidi ya 4M kwa ajili ya ada mbali na michango mbalimbali inapita hadi 5M.Hii ni ada ya mwanafunzi wa sekondari tu.
Shule ina zaidi ya wanafunzi 2000 ...nikajisemea kimoyomoyo..dah laiti kama wangekuwa wanajua kuwa wanapigwa pesa kizembe wasingeleta watoto ktk hii shule. Watoto wakihitimu form 6 wanakwenda kujazana katika vyuo vya kata badala ya kwenda kusoma nje ya nchi.
Amini ninayokwambiaShule ina wanafunzi 2000 😆😂 alafu inachaji 4m kwa mwaka duh
Shule gani hiyoAmini ninayokwambia
Nyingi tu bro....ww tembelea haya mashule ya kulipia hapo jijini Dar-es-salaamShule gani hiyo
100% correctNyie ndio mnatakiwa na hawa scammers wa EM....mmevishwa joho la ujinga kuwa future ya mwanao ipo katika kusoma ktk EMs. Yaani vile vitoto vyenu vya standard 2 vikisema kwa kingereza kuwa vinataka kuwa doctors ,pilots na engineers yaani ndio mnazidi kupagawa kwenda kujistress zaidi kuingia mikopo na madeni mkawalipie mamilioni kwenye EMs bila ya kujua kuwa mnakuwa scammed na wamiliki wa hayo mashule. Hizo pesa unazotumia kuwalipia ada kwann usiwawekezee katika mashamba na mifugo ili wakimaliza wakute baba yao umewaandalia assets za kutosha kuendeleza maisha yao.?
Victor MlakiNyie ndio mnatakiwa na hawa scammers wa EM....mmevishwa joho la ujinga kuwa future ya mwanao ipo katika kusoma ktk EMs. Yaani vile vitoto vyenu vya standard 2 vikisema kwa kingereza kuwa vinataka kuwa doctors ,pilots na engineers yaani ndio mnazidi kupagawa kwenda kujistress zaidi kuingia mikopo na madeni mkawalipie mamilioni kwenye EMs bila ya kujua kuwa mnakuwa scammed na wamiliki wa hayo mashule. Hizo pesa unazotumia kuwalipia ada kwann usiwawekezee katika mashamba na mifugo ili wakimaliza wakute baba yao umewaandalia assets za kutosha kuendeleza maisha yao.?
Jamaa wakisha sikia tu " Dad I want to be a pilot" wanapagawa.🤣🤣🤣 Hawajui watoto huwaga wanabadilika wakibalehe. By the time mtoto anafika form 3 anaanza KUKUTANA na uhalisia wa maisha ana sema " I want to be like Konde Boy" 🤣🤣🤣 Akimaliza chuo anakuwa You Tuber au anaingia kwenye Forex🤣🤣🤣 ila acha waendelee kupigwa maana si wanataka wenyewe kupigwa banaNyie ndio mnatakiwa na hawa scammers wa EM....mmevishwa joho la ujinga kuwa future ya mwanao ipo katika kusoma ktk EMs. Yaani vile vitoto vyenu vya standard 2 vikisema kwa kingereza kuwa vinataka kuwa doctors ,pilots na engineers yaani ndio mnazidi kupagawa kwenda kujistress zaidi kuingia mikopo na madeni mkawalipie mamilioni kwenye EMs bila ya kujua kuwa mnakuwa scammed na wamiliki wa hayo mashule. Hizo pesa unazotumia kuwalipia ada kwann usiwawekezee katika mashamba na mifugo ili wakimaliza wakute baba yao umewaandalia assets za kutosha kuendeleza maisha yao.?
Mo hategemei kuja kuona mwanawe anahangaika na bahasha akitafuta ajira kutoka ofisi moja mpk nyingine. Mo anasomesha wanawe ili waje kurithi ,kusimamia na kuendeleza ukwasi wa familia ya DEWJI.
Watoto wa kikwete na wako wana ufanano gani? Familia ya kikwete ina ukwasi mkubwa hivyo inahitaji warithi watakaoendeleza mali za familia.
Ila ww pangu pakavu tia mchuzi kujistress kulipa mamilioni kwenye EM schools uchwara ili wanao waje kugombania shuttle pale mabibo hostel ni upumbavu wa kiwango cha SGR