Mtanzania achagua kuichezea timu ya taifa ya Marekani

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
BERNARD KAMUNGO, Mwanasoka ambaye alilelewa kwenye kambi ya Wakimbizi huko Kigoma, Tanzania! Aliyekuwa na uwezo wa kucheza timu ya taifa ya Tanzania, sasa ameitwa rasmi timu ya taifa ya Marekani kuelekea kambi ya Olympic, uwezekano mkubwa kwasasa ni kuwa tayari ataiwakilisha Marekani huku klabu yake ya FC Dallas ikisema ametoka Kambi ya wakimbizi bila kuitaja nchi, another talent imechagua bendera tofauti na Tanzania.

Hii ni aibu kwa shirikisho letu kwa kushindwa kumpatia nafasi mchezaji aliyekuwa tayari kulitumikia taifa letu mara zote alizoitwa timu ya taifa alikuja lakini hakuwahi kupewa nafasi zaidi alihishia bench na jukwaani hatujui nini kilikuwa kinandelea. Mbaya zaidi nafasi anayocheza kuna watu wanaitumikia lakini uwezo wao ni mdogo sana ila hatujui vigezo gani vinavyowapa hyo nafasi.

Ni kipaji kikubwa sana tumekiacha kiondoke kilahisi hivi huku tukiwa na mashindano makubwa mbele yetu. Sitaki kuamini kama mzize,bocco,kibu,samatta wa sasa wanauwezo mkubwa zaidi kuliko BERNARD ? Hapana nadhani kuna kitu hakipo sawa na hili linaweza kuwa tukio sawa la MBAPE NA KAMERUNI japo sina uhakika. Nenda BERNARD kapambanie ndoto zako miyoyoni kwetu utabakia kuwa mzalendo wa kweli ila tuliamua kukupuuza kwa Ubinafsi tu na roho zetu.

20231009_100129.jpg
 
BERNARD KAMUNGO, Mwanasoka ambaye alilelewa kwenye kambi ya Wakimbizi huko Kigoma, Tanzania! Aliyekuwa na uwezo wa kucheza timu ya taifa ya Tanzania, sasa ameitwa rasmi timu ya taifa ya Marekani kuelekea kambi ya Olympic,

View attachment 2776520
Kwa hiyo watanzania siku hizi mnalea wananchi wenu ndani ya Kambi za Wakimbizi?

Halafu kwanini uwalaumu TFF kwenye hilo swala? Kwanini usiwalaumu wanaokataa kutoa dual citizenship?
Ungekuwa wewe ungerudi kuja kuchezea bongo?

Hata Kalimagonga Ongala aliyelelewa na kukulia hapo Sinza alipofikisha umri wa kuchagua uraia alirudi Uingereza kuchukua uraia wa nchi aliyozaliwa.
 
Ningemuona mpumbavu endapo angechagua Tz badala ya Marekani.

Hakuna malipo ya kuwa mzalendo Tanzania.

Hii nchi ni mithili ya mama wa kambo mwenye roho mbaya. Wako radhi wafanye kila jitihada kuangamiza kipaji cha mtu ikiwa hawana maslahi ya moja kwa moja watakayopata.
 
BERNARD KAMUNGO, Mwanasoka ambaye alilelewa kwenye kambi ya Wakimbizi huko Kigoma, Tanzania! Aliyekuwa na uwezo wa kucheza timu ya taifa ya Tanzania, sasa ameitwa rasmi timu ya taifa ya Marekani kuelekea kambi ya Olympic, uwezekano mkubwa kwasasa ni kuwa tayari ataiwakilisha Marekani huku klabu yake ya FC Dallas ikisema ametoka Kambi ya wakimbizi bila kuitaja nchi, another talent imechagua bendera tofauti na Tanzania.

Hii ni aibu kwa shirikisho letu kwa kushindwa kumpatia nafasi mchezaji aliyekuwa tayari kulitumikia taifa letu mara zote alizoitwa timu ya taifa alikuja lakini hakuwahi kupewa nafasi zaidi alihishia bench na jukwaani hatujui nini kilikuwa kinandelea. Mbaya zaidi nafasi anayocheza kuna watu wanaitumikia lakini uwezo wao ni mdogo sana ila hatujui vigezo gani vinavyowapa hyo nafasi.

Ni kipaji kikubwa sana tumekiacha kiondoke kilahisi hivi huku tukiwa na mashindano makubwa mbele yetu. Sitaki kuamini kama mzize,bocco,kibu,samatta wa sasa wanauwezo mkubwa zaidi kuliko BERNARD ? Hapana nadhani kuna kitu hakipo sawa na hili linaweza kuwa tukio sawa la MBAPE NA KAMERUNI japo sina uhakika. Nenda BERNARD kapambanie ndoto zako miyoyoni kwetu utabakia kuwa mzalendo wa kweli ila tuliamua kukupuuza kwa Ubinafsi tu na roho zetu.

View attachment 2776520
Mtanzania aliyekulia kambi ya wakimbizi ?!! Huo utanzania unajipendekeza kwa kijana kwakua anakipaji.
 
Maamuzi ni yakwake hivo tusimpangie chakufanya.....tusilazimishe wakati wachezaji wapo weeng wakulichezea Taifa kwa mafanikio
 
Aliyekudanganya kuwa kuna watanzania wanaishi kambi za wakimbizi nani?
me mwenyewe nimeshangaa sana, lini kulitokea machafuko tanzania mpaka kukawa na wakimbizi (internal refugees kwa msingi wa mada yake), mleta mada ana tatizo la uelewa, au labda hajui maana ya mkimbizi/wakimbizi.
 
BERNARD KAMUNGO, Mwanasoka ambaye alilelewa kwenye kambi ya Wakimbizi huko Kigoma, Tanzania! Aliyekuwa na uwezo wa kucheza timu ya taifa ya Tanzania, sasa ameitwa rasmi timu ya taifa ya Marekani kuelekea kambi ya Olympic, uwezekano mkubwa kwasasa ni kuwa tayari ataiwakilisha Marekani huku klabu yake ya FC Dallas ikisema ametoka Kambi ya wakimbizi bila kuitaja nchi, another talent imechagua bendera tofauti na Tanzania.

Hii ni aibu kwa shirikisho letu kwa kushindwa kumpatia nafasi mchezaji aliyekuwa tayari kulitumikia taifa letu mara zote alizoitwa timu ya taifa alikuja lakini hakuwahi kupewa nafasi zaidi alihishia bench na jukwaani hatujui nini kilikuwa kinandelea. Mbaya zaidi nafasi anayocheza kuna watu wanaitumikia lakini uwezo wao ni mdogo sana ila hatujui vigezo gani vinavyowapa hyo nafasi.

Ni kipaji kikubwa sana tumekiacha kiondoke kilahisi hivi huku tukiwa na mashindano makubwa mbele yetu. Sitaki kuamini kama mzize,bocco,kibu,samatta wa sasa wanauwezo mkubwa zaidi kuliko BERNARD ? Hapana nadhani kuna kitu hakipo sawa na hili linaweza kuwa tukio sawa la MBAPE NA KAMERUNI japo sina uhakika. Nenda BERNARD kapambanie ndoto zako miyoyoni kwetu utabakia kuwa mzalendo wa kweli ila tuliamua kukupuuza kwa Ubinafsi tu na roho zetu.

View attachment 2776520
Huyo ni mzaliwa wa wazazi wakimbizi na alizaliwa katika kambi ya wakimbizi ambapo mtu anayezaliwa katika mazingira hayo anahesabika kuwa raia wa nchi walikotoka wazazi wake mpaka aombe uraia katika nchi ambako kambi hiyo iko. Ni mcongoman aliyepewa uraia wa marekani. si mtanzania
 
Back
Top Bottom