Safi, Acha Wazungu tuwapige bao
Kwa hiyo kwasababu mseto ipo huwa unaenda kulala walipo Mbu ili wagun'gate umeze mseto?
Silali na chandarua mimi!Ila Malaria ingekuwa haina tiba weee saa 1 niko ndani ya chandarua!Kwa hiyo kwasababu mseto ipo huwa unaenda kulala walipo Mbu ili wagun'gate umeze mseto?
Jamaa aachwe aseme alicho nachi who knows huenda akatuondoa kwenye hii hali.Kama mzee wa Loliondo alikubalika kwanini huyu asikubalike?
Hili ndilo haswa anapaswa kulifanya, kisha hao watakaopona watawajulisha wengine nae atatafutwa kama tabibu wa COVID-19 na mengineyo!!Simkatalii ila NAMSHAURI kuliko kufikiria kuonana na WAZIRI bora akaonane na WAGONJWA WA COVID 19 awaponye kwanza ndo afikirie mengine.
Sent using Jamii Forums mobile app