Mtanzania adai kugundua dawa ya corona, ataka kuonana na Waziri wa Afya

View attachment 1437262

MKAZI wa Chanika jijini Dar es Salaam Seleman Mwamsumbwe (pichani kushoto) akiwa na dada yake(kulia) ameomba kukutana na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kwa lengo la kumueleza habari njema ya kwamba amegundua dawa inayoweza kutibu ugonjwa wa COVID-19 unaotokana na virusi vya corona.

Akizungumza na waandishi wa habari leo nyumbani Chanika huku akiwa na furaha na tabasabu tele Mwamsumbwe amesema kuwa dawa hiyo ambayo ameigundua hawezi kuitaja hadharani kwa sasa hadi pale atakapoona na Waziri Ummy Mwalimu.
"Natambua changamoto kubwa Dunia inapitia kwa sasa na kusababisha mataifa mbalimbali kuhaha kutafuta tiba ya corona Dawa yangu ambayo tayari nimeifanyia utafiti wa kutosha nimjeridhisha ina uwezo wa kutibu ugonjwa huo bila tatizo lolote, naomba kukutana na Waziri wa Afya nizungumze naye na kisha nipate baraka ili kuokoa maisha ya watu ambayo yanaangamia kwa Corona,"amesema.

Akifafanua zaidi kuhusu dawa hiyo Mwamsumbwe amesema kwamba dawa hiyo inauwezo wa kutibu mfumo mzima wa mapafu, kuondoka mafua makali pamoja kikohozi.
."Namuomba Waziri wa aje tuonane ninahakika dawa hii itasaidia kuponya ugonjwa huu wa Corona au kupunguza makali ya gonjwa."amesisitiza na kuongeza anao uhakika wa asilimia 100 wa dawa hiyo kutibu Corona.

Mkazi wa Chanika Dar, Seleman Mwamsumbwe ambae anadai kugundua dawa ya kutibu Corona akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake kuhusu dawa hiyo ambapo ameomba kukutana na Waziri wa Afya ili kuzungumza nae kwa kina.

Swali kama ana dawa kwanini kavaa maski kubwa hivyo ?
Kabla hajafika kwa Ummy, kuna uwezekano wa kuwekwa mapumzikoni kwa ajili ya mahojiano ya kina.
 
Simkatalii ila NAMSHAURI kuliko kufikiria kuonana na WAZIRI bora akaonane na WAGONJWA WA COVID 19 awaponye kwanza ndo afikirie mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatoruhusiwa kisheria sababu kabla ya kufanya hivyo lazima apate kibali kutoka kwenye mamlaka husika.
Ambazo ndio wasimamizi wa haya mambo.
Akipita shortcut watamla kichwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzungu atapigwa bao na washirikina? Alishindwa Mkwawa kwenye vita vya majimaji, ndio itakuwa hawa majobless wa hapa Dar?
Mkuu, hata wewe au sio fani yako?

Fanya basi wewe mkuu au Kwa Africa hii ni laana kubwa kugundua kitu chochote kiasi kwamba kimawafanya wasomi wetu uwezo wao wa elimu zao kuuelekeza kwenye siasa pekee?
 
Hivi hizo sura zinafanania ziahawai fika lab dawa za miti shamba zipo nyingi uhakika wa kumtoa huyo kirusi huko kwenye mapafu ndo hatujui
 
Mzungu atapigwa bao na washirikina? Alishindwa Mkwawa kwenye vita vya majimaji, ndio itakuwa hawa majobless wa hapa Dar?
Samahani mkuu ni Kinjekitile siyo Mkwawa.Mkwawa alikuwa mtu wa mipango thabiti sema teknolojia na migogoro na baina ya machifu wanaomzunguka ndo vilirahisisha kazi ya Mjerumani.Ila Hawa wanaogundua dawa za Corona wengi watoto wa mjini.watu wataanza kumimimika kwake Kama wanavyojifukiza Sasa hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1437262

MKAZI wa Chanika jijini Dar es Salaam Seleman Mwamsumbwe (pichani kushoto) akiwa na dada yake(kulia) ameomba kukutana na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kwa lengo la kumueleza habari njema ya kwamba amegundua dawa inayoweza kutibu ugonjwa wa COVID-19 unaotokana na virusi vya corona.

Akizungumza na waandishi wa habari leo nyumbani Chanika huku akiwa na furaha na tabasabu tele Mwamsumbwe amesema kuwa dawa hiyo ambayo ameigundua hawezi kuitaja hadharani kwa sasa hadi pale atakapoona na Waziri Ummy Mwalimu.
"Natambua changamoto kubwa Dunia inapitia kwa sasa na kusababisha mataifa mbalimbali kuhaha kutafuta tiba ya corona Dawa yangu ambayo tayari nimeifanyia utafiti wa kutosha nimjeridhisha ina uwezo wa kutibu ugonjwa huo bila tatizo lolote, naomba kukutana na Waziri wa Afya nizungumze naye na kisha nipate baraka ili kuokoa maisha ya watu ambayo yanaangamia kwa Corona,"amesema.

Akifafanua zaidi kuhusu dawa hiyo Mwamsumbwe amesema kwamba dawa hiyo inauwezo wa kutibu mfumo mzima wa mapafu, kuondoka mafua makali pamoja kikohozi.
."Namuomba Waziri wa aje tuonane ninahakika dawa hii itasaidia kuponya ugonjwa huu wa Corona au kupunguza makali ya gonjwa."amesisitiza na kuongeza anao uhakika wa asilimia 100 wa dawa hiyo kutibu Corona.

Mkazi wa Chanika Dar, Seleman Mwamsumbwe ambae anadai kugundua dawa ya kutibu Corona akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake kuhusu dawa hiyo ambapo ameomba kukutana na Waziri wa Afya ili kuzungumza nae kwa kina.

Swali kama ana dawa kwanini kavaa maski kubwa hivyo ?
Chanika IPI mkuu tukamuone maana wengine chanika tunandugu twaweza kumfikia
 
Yaani Mzungu, Mchina na Mhindi mpaka leo anaumiza Kichwa juu ya Dawa ya COVID-19 halafu Mswahili na Mlevi Mmoja tu wa Gongo kutoka Chanika na ambaye hata Kiuwajihi ( Kimwonekano ) wake tu anaonekana kama si Mganga wa Kienyeji basi atakuwa ni Mchawi Mkomavu mno huko aliko.

Na sitoshangaa Kuona Waziri na Wizara yake wakamuamini huyu, na wakampandisha Ndege haraka kwenda Kuanza Jaribio la hiyo Dawa yake ya Kimazingaombwe huko Chato Mkoani Geita na ikishatumika na mpenda Kutumia Mitishamba ( Nyungu ) Namba Moja Tanzania nzima na ikimdanganya kuwa inasaidia basi haraka sana Gerson Msigwa ataambiwa autaarifu Umma kuwa huyu Tapeli Kateuliwa kuwa ama Mkuu wa Wilaya au Mkoa na hata akawa ni Mbunge wa Kuteuliwa kuziba nafasi ya Mwanamama wa Kimaombi aliyetuacha Milele Wiki mbili tu zilizopita.
 
View attachment 1437262

MKAZI wa Chanika jijini Dar es Salaam Seleman Mwamsumbwe (pichani kushoto) akiwa na dada yake(kulia) ameomba kukutana na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kwa lengo la kumueleza habari njema ya kwamba amegundua dawa inayoweza kutibu ugonjwa wa COVID-19 unaotokana na virusi vya corona.

Akizungumza na waandishi wa habari leo nyumbani Chanika huku akiwa na furaha na tabasabu tele Mwamsumbwe amesema kuwa dawa hiyo ambayo ameigundua hawezi kuitaja hadharani kwa sasa hadi pale atakapoona na Waziri Ummy Mwalimu.
"Natambua changamoto kubwa Dunia inapitia kwa sasa na kusababisha mataifa mbalimbali kuhaha kutafuta tiba ya corona Dawa yangu ambayo tayari nimeifanyia utafiti wa kutosha nimjeridhisha ina uwezo wa kutibu ugonjwa huo bila tatizo lolote, naomba kukutana na Waziri wa Afya nizungumze naye na kisha nipate baraka ili kuokoa maisha ya watu ambayo yanaangamia kwa Corona,"amesema.

Akifafanua zaidi kuhusu dawa hiyo Mwamsumbwe amesema kwamba dawa hiyo inauwezo wa kutibu mfumo mzima wa mapafu, kuondoka mafua makali pamoja kikohozi.
."Namuomba Waziri wa aje tuonane ninahakika dawa hii itasaidia kuponya ugonjwa huu wa Corona au kupunguza makali ya gonjwa."amesisitiza na kuongeza anao uhakika wa asilimia 100 wa dawa hiyo kutibu Corona.

Mkazi wa Chanika Dar, Seleman Mwamsumbwe ambae anadai kugundua dawa ya kutibu Corona akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake kuhusu dawa hiyo ambapo ameomba kukutana na Waziri wa Afya ili kuzungumza nae kwa kina.

Swali kama ana dawa kwanini kavaa maski kubwa hivyo ?
Wanyakyusa kwa Ugunduzi
1.Kikombe cha Babu loliondo- Mwaisapila
2.Corona-Seleman Mwamsumbwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom