Mtanzania adai kugundua dawa ya corona, ataka kuonana na Waziri wa Afya

Kwa sababu anayo dawa unataka aambukizwe ili ajitibu na aambukizwe tena na tena! Swali lako la kitoto.
Ukiwa unamiliki duka la dawa hauhitaji tahadhari ya maradhi!
 
Mwacheni apige hela kama babu wa Loliondo maana inaonekana hapo maisha ni magumu mpaka wanakalia makochi ya mwaka 1992

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masanii tu huyu waziri ndio mkemia hapo mwanzotu nishamuona tapeli
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…