Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni hujanielewa sijamhukumu mkuu hapo isipokuwa siku km hizo za sikukuu vyombo vya moto ni kuacha tu home uwape ajira wengine au la tuliza tu home.Ni Dhambi kumhukumu mtu pasipo na kuwa na ushahidi wowote ule unapata dhambi lete toba kwa Mungu wako kwa kusema maneno huna uhakika nayo. Unasema maneno ya uongo kwanini Mkuu?
View attachment 1669010
View attachment 1669125
Kofia ya Pikipiki ya Marehemu iliyomtoka kichwani wakati wa ajali.
Breaking News::
Mtanzania Mwenye Asili ya kutoka Kisiwani Pemba nchini Tanzania akiendesha Pikipiki mjini Antalya nchini Uturuki amepatwa na ajali ya kugongwa na Gari na kufariki papo hapo juzi saa 10 na nusu jioni. Marehemu alikuwa anaitwa kwa jina Faisal Haji Omar mwenye umri wa miaka 27 Maiti ya Marehemu imehifadhiwa kwenye chumba cha kuhifadhi Maiti Mjini Antalya nchini Uturuki. Allah amsamehe makosa yake amin.![]()
![]()
Tanzanya uyruklu motosiklet sürücüsü kazada öldü
Antalya'nın Döşemealtı ilçesinde kontrolünü kaybettiği motosikletiyle metrelerce sürüklenen Tanzanya uyruklu Faisal Haji Ömer (27) hayatını kaybetti.Kaza, saat 16.30 sırlarında Yeniköy Mahallesi Fatih Sultan Mehmet Caddesi Oska Siteleri önünde meydana geldi. TOKİ Konutları'ndan Yeniköy Mahallesi yönüne giden Tanzanya uyruklu Faisal Haji Ömer’in kullandığı 07 MA 6739 plakalı motosiklet, kontrolden çıkıp, refüje çarparak metrelerce sürüklendi. Kazayı görenlerin haber vermesi üzerine gelen sağlık ekipleri Faisal Haji Ömer’in olay yerinde hayatını kaybettiğini belirledi. Ömer’in cansız bedeni, Adli Tıp Kurumu morguna kaldırıldı. Öte yandan Ömer’in kaza sırasında kaskının başından fırladığı görüldü.https://www.cnnturk.com/.../tanzanya-uyruklu-motosiklet...
Tanzanian motorcycle driver dies in crash
Faisal Haji Ömer (27), a Tanzanian national, who was dragged by his motorcycle, which he lost control in Antalya's Döşemealtı district, died.
The accident occurred at 16.30 secrets in front of the Yeniköy District Fatih Sultan Mehmet Street Oska Sites. The motorbike with the plate 07 MA 6739, used by Faisal Haji Ömer, a Tanzanian citizen, who went from TOKİ Houses to Yeniköy Mahallesi, got out of control, hit the median and dragged for several meters. After the news of those who saw the accident, the health teams determined that Faisal Haji Ömer died at the scene. Ömer's lifeless body was taken to the morgue of the Forensic Medicine Institute. On the other hand, it was seen that Ömer's helmet popped out of his head during the accident. source. Tanzanya uyruklu motosiklet sürücüsü kazada öldü
Katika lugha ngumu kuandika na kujifunza ni kituruki na kijerumani
Shukrani kwa kufarikiView attachment 1669010

Ujiandae kwa lipi,kwani katika kuzaliwa ulijiandaa mkuu??Duh, tujiandae maana hatuijui siku wala saa ya kufikwa na umauti
Utakufa kibuduUjiandae kwa lipi,kwani katika kuzaliwa ulijiandaa mkuu??
Hakuna lugha ngumu duniani ukisema kichina watu wana andika kichina ukisema kifaransa watu wanaandika kifaransa. Lugha ya kituruki imechanganyika na lugha nyingi tu ndani ya lugha ya kituruki kuna lugha ya kiarabu,kiingereza,kifaransa na kilatini ndio hiyo lugha ya kituruki sio ngumu kuisoma na kuiandika.Katika lugha ngumu kuandika na kujifunza ni kituruki na kijerumani